Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada wanajamvi mwenye Join instructions ya Musoma clinical officer training center anisaidie
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada wa haya maswali. (a) Formulate a business research title of your choice (b) Identify three independent variables and one dependent variable from your title in (a) above (a) Create...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Habari wakuu, Kama unamwanao hajachaguliwa chuo au advance usiwaze sana jibu ni nactevet. Fanya maombi ya kupitia nactevet naamini atapata kozi nzuri aliyohitaji, dirisha linafunguliwa keshokutwa...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Habar zenu wakuu, Polen kwa majukum na shughul za kila siku katika kujenga taifa!![emoji1241][emoji1241] Ok! Kwa kuingia kweny mada husika mm n form4 leaver kutoka shule fulani jijin dar lakin...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jamii forums? Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi wangu! Mimi nikijana niliebahatika kupata scholarship ya kwenda kusoma urusi, ambapo mategemeo yangu ni kuondoka...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna...
10 Reactions
19 Replies
9K Views
Habarini natarajia kuingia form five PCB combination so nilikua nataka kujua tips za kuweza kufaulu na mwenye ushauri anaweza kunipa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kila ninapojaza naletewa ujumbe huu
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Habari Poleni na majukumu Naomba kufahamu mtu mwenye uelewa kama inawezekana kubalisha combination na shule bila kwenda shule aliyoteuliwa. Naomba kuwasilisha ahsante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear users, I think its time now to riview the Education for Self Reliance now to make the youths productive and effective in the society. Imagine youths are graduating every year without any...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Mwenye nazo, anisaidie tafadhali
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Anticipated Outcomes (What impact will the training have on performance?) Naombeni idea ya kujibu hapo, msaada
1 Reactions
6 Replies
672 Views
Nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana 2021. Nimechaguliwa kujiunga chuoni kwa ajili ya kozi ya Uhasibu. Kwa sababu ya uchumi duni ambapo Karo na gharama nyingine za chuo, sitamudu kusoma. Pili...
1 Reactions
2 Replies
818 Views
Wakuu habari dirisha la maombi ya vyuo vilivyo chini ya nactevet kufunguliwa tarehe tajwa hapo juu, hebu tujuane tunaotaka kuomba vyuo vya kozi za afya kwa kufahamishana vyuo vizuri. Karibuni
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujua jinsi ya kupata uhamisho kwa mwanafunzi aliyechaguliwa Kidato cha Tano. Mwanangu kachaguliwa Shule ya mbali mno na usafiri wa shida kufika. Pia, hali ya hewa huko hataweza kuimudu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habar za sahizi wakuu Nilikua naulizia joining instruction ya shule ya TURA SECONDARY SCHOOL iliyoko Tabora maana nmejaribu kusearch kwenye website ya TAMISEMI naona inakataa kuja naombeni...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu, Tafadhali mwenye namba za simu za chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Sciences tafadhali aniwekee hapa, kwa maana nimejaribu kusearch mtandaoni sijazipata. Hiki chuo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Inaitwa Republic Archive Information And Management. Mdogo wangu kachaguliwa katika hizi selection za Tamisemi Kozi hiyo chuo kinaitwa TANZANIA PUBLIC SERVICES (TPS) CAMPUS YA MTWARA. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
935 Views
Nataka kujua kuhusu shule hii na michepuo yake je ni mpya au la
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom