Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Civics B, History C, Geograqhy C, Kiswahili C, English C, Literature C, Biology D, CHEMISTRY D, PHYICS D, MATHEMATICS F.
1 Reactions
9 Replies
991 Views
Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari JF, Kuna dogo yuko mwaka wa pili semester TWO anataka kusimamisha masomo kwa sababu ya ada. Anasema bodi ya mkopo wamemlipia kiasi so haiwezi kulipa huu mwaka hivyo kwa mujibu wake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam Wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu. Mdogo wangu alibahatika kuchaguliwa kusoma shahada ya kwanza katika moja ya campus za chuo kikuu Cha Dar es salaam(UDSM), na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Elimu elimu elimu 😜😜😜😜 ni moja kati ya chemsha bongo kubwa ambazo Zinakumba jamii nyingi za Afrika Hadi Leo !!! Jamii zetu Zina vijana wenye talent, uwezo ,vipaji, vision na hamu ya kufanikiwa...
1 Reactions
0 Replies
861 Views
jamani muda mrefu nimekuwa nkitafakari juu ya kazi ya uchoraji tatoo. Kwa Tanzania ni wapi naweza pata ujuzi huu maana hali ilivyo sasa ni vyema use na shughuli nyingi za kuingiza kipato. Sent...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naimani wote wazima na mungu anaendelea kutupigania Niende kwenye Mada husika Mdogowangu kamaliza shule nahtaji nimepele Chuo akachukue coz ya Architecture in interior&exterior...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Habari wadau, Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya...
2 Reactions
4 Replies
727 Views
Kwa Graduate Engineers, jiendeleze kwa kozi zinazotolewa na Siemens bure, na kupewa Certification Hizi zinaweza kukuongezea ujuzi na kupendezesha CV yako, au hata kujichotea mawili matatu ya...
7 Reactions
6 Replies
904 Views
Habari za muda huu ndugu zangu, nimepokea kwa masikitiko makubwa ujumbe kutoka kwa mwalimu alieenda kujiendelezA, na baada ya kurudi ametumikia miaka minne,.ila leo amenyimwa daraja (kupandshwa...
0 Reactions
9 Replies
815 Views
Mnaoenda vyuo vikuu mwaka huu kama hutasoma kozi hizi kwa Tanzania yetu imekula kwako. Mnaoenda kusomea Political Science, laws, wote mnapoteza muda wenu ajira hakuna. Kozi hizi ndio Marketable...
8 Reactions
240 Replies
45K Views
Jamani mi ni muhanga wa TCU sasa kwakua kuna ushindan sana nimeamua kujichagulia Diploma in optometry. Je hii coz ipoje darasani na kwenye soko la ajira? Msaada jamani
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Ingawa wengi kwa knowledge ya kibinaadamu "ILI KULETA USAWA FLANI HIVI BILA UBAGUZI WOWOTE" watakwambia kozi zote ni sawa inategemea na kichwa chako lakini ukweli juu ya hili utabaki pale pale...
0 Reactions
154 Replies
48K Views
Wadau naomba kuwasilisha kama huyu mdau alivyoomba niwasilishe kwenu kwa msaada zaidi "kuna swali langu nataka unitumie jamii forum nipate majibu. Waandishi wanatofautiana katika uandishi wa...
1 Reactions
1 Replies
28K Views
Kuna dogo kamaliza kidago cha nne mwaka huu kapata division two ya 22 kapangiwa chuo cha elimu ya awali (ualimu ) afanyeje ili aweze kubadiri aendelee na kidato cha tano na sita? Sent using Jamii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mdogo wangu amepata Div.I ya 7. Kwenye masomo anayotaka kusoma Advance ana Physics C, Chemistry A na Maths A (PCM). nimeangalia ufaulu wa Physics kwa shule nyingi hata za vipaji A za physics ni...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua... Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
8 Reactions
141 Replies
7K Views
Wana jamvi.naomba kuuLiza HV waweza fanya online admission application kupitia simu __?? na kama ndiyo hapo nilipofikia ndo nimeshamalza kutuma maombi kwenda NACTE? Sababu nmefanya process zote...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom