Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba msaada wakufahamishwa vitu vinavyo itajika kwenye ordinary diploma in clinical medicine na cost kwa vyuo serikal ada yake.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habar waungwana nina shda na mitihan ya A level package za masomo yote pamoja na marking scheme naomba msaada DM [emoji123][emoji120]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Kuna chuo nchini Uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo. Nimetuma maombi nikatumiwa reference namba kwa ajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu. Watanzania kazi iendelee. Katika mambo yanayoonekana kuwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
MLEMAVU WA MACHO ATUNUKIWA PhD Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii imetokea leo Shule ya Sekondari Ifuunda Tech iliyoko mkoani Iringa majira ya saa nane mchana baada ya wanafunzi kuvunja baadhi ya samani za shule ikiwemo vioo na kuiba kengele na kuificha...
1 Reactions
61 Replies
12K Views
Wakuu msaada kwa wenye materials wezeshi ya civic and moral education class 4 and 7 nataka ninyakue kombe hapa.. Hasa kwa topic constitution, government organs, mambo ya local government, weo...
1 Reactions
4 Replies
912 Views
Naomba kupata outline za course za masomo yanayohusu Field ya geographia Mimi nikijana niliemaliza kidatu Cha sita 2022 combination ya CBG Nina penda Sana geography nanina ndoto za kusoma degree...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam wanajukwaa.... Husikeni na kichwa Cha mada.kuanzia Drs la5hadi7 Kuna mada(umahiri) unaohusiana na Mambo ya kompyuta na matumizi ya intaneti. Ukienda mbele zaidi Kuna maudhui yanayohusu...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Wakuu kwema humu? Nina ndugu yangu ana shahada ya Ualimu na anataka kwenda kusoma diploma ya quality Assurer, je ina faida gani Kwa huyu Kijana?
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Ningependa nipate muongozo wa kufahamishwa mishahara ya Ma'lecturers ktk vyuo vyetu bongo imekaaje wakuu. Kuanzia ngazi ya chini kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini....nilikua naomba kuulizia shule nzuri ya serikali ambayo ni mixture a level PCB combination.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada wenye past paper ya Operations Officer TAA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna dogo kamaliza form four mwaka jana na amepata 4 ya 26 na ana C tatu sema hizo C tatu kombi haijabalance na anataka kujua kozi gani anayoweza akasoma kuanzia certificate na Diploma
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Habari zenu wote, Naomba kuuliza kwa mfano umekutana swali hili hapa “Eleza ni njia gani utatumia ili kufanikisha zoezi la uhesabiji wa SENSA linalo endeshwa kijijini/mtaani iwapo wananchi...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Habarin wanajamvi, mpo salama natumaini. Samahani nilikua naomba kufahamishwa vyuo bora vya afya kozi ya clinical medicine kwa hapa Dar es Salaam vya private vyenye hostel na very competent...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Jamani ninamtafuta huyu mtu, kuna anayemfahamu? Nina shida naye. Ni shida ya kawaida tu. Nina maswali yangu nahitaji kumuuliza.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom