Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
What is 934,752,213,849,592,139,365,634 in words? Swali lijibiwe kwa kizungu, kiswahili tutachanganyana Ukipatia ipo shilling elfu 50 za kitanzania, serious
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Msaada kaka zangu naomba map kwa ajiri ya kujibia maswali ya geography topic ya map leading
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman ndo nch yetu. Kuna kijana Wng ali-apply Medical assitant lakn mpaka leo wizara ya Afya haijatoa majina kwa waliochaguliwa ktk hiyo course Nashndwa kuelewe iweje watoe majina ya course...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukum. Ninaomba msaada wa kutajiwa shule nzuri kwa ajili ya mdogo wangu wa kike, iwe girls tupu au mchanganyiko. Ikiwezekana kutajiwa na ada itapendeza zaidi. Nawasilisha.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi 1. PURA.....As geophysics 2. Ocean road Hosp......as medical...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Samahan Wana jf nimechaguliwa jkt mujibu wa sheria 2022 .msaada kuhusu kuapply mkopo na chuo ukiwa JKT
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA tawi la Chuo Kikuu cha St.Augustine (CHASO-SAUT) Bw.Malisa Godlisten ameshinda kwa kishindo urais wa chuo hicho licha ya mizengwe mingi iliyokuwepo. Malisa...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu! Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kujua zaid juu ya fields of application za BLS. Wanaweza kufanya kazi Medical laboratory? Wanakibali cha kumiliki Health laboratory na kuziendesha? Wanaweza kufanya kaz viwandani ie...
0 Reactions
6 Replies
761 Views
Dogo kamaliza form six hajachaguliwa kambi yoyote ya JKT anataka ajipeleke mwenyewe maana anapenda sana ahudhurie mafunzo hayo je wanaweza kumpokea kweli na kumsajiri kwa ajiri ya mafunzo?
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Please mwenye Vitabu vifuatavyo karibu inbox tufanye biashara: 1. PMBOK® Guide – Seventh Edition - 2. PMP Exam Prep Simplified: Covers the Current PMP Exam and Includes a 35 Hours of Project...
0 Reactions
5 Replies
396 Views
Je, ni nchi ngapi kwa hivi sasa zenye elimu bure kwa wote kuanzia primary school hadi high school katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na SADC kwa ujumla?
0 Reactions
4 Replies
430 Views
Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wapendwa habari zenu, Naomba kama kuna mtu humu ana hicho kitabu au hata jinsi ya kukipata in soft copy anisaidie. Nashukuru sana.
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Nina ndugu yangu ni mhitimu wa degree ya marketing Nilikuwa nahitaji mtu yoyote ambaye anaweza kumsaidia kumuunganisha kwenye ajira hususani katika makampuni binafsi Ni hayo tu Wakuu, pm yangu...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Habari za mda huu wana ndugu wa JF, Kuna kozi pale open university inaitwa Bachelor of science in Energy Resources hii kozi inahusu nini na fursa zake ni zipi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza Hapa UDSM, nasoma LLB, Mwaka wangu hapa chuoni umekuwa mchungu kimasomo, Loan Board wamenilipia Tsh 400500 pekee kati ya 150000, ya ada kwa mwaka. Hali...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanajamii forum! Kama tunavofaham kuna baadhi ya nchi hazitumii mfumo wa GPA badala yake zinatumia Percentage au scale. Swali langu ni je kuna utaratibu wa kuconverte...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Back
Top Bottom