Habari wanajukwaa,
A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana,
Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa...
Habari wapendwa!
Naombwa kujuzwa ndugu zangu,
Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari...
Habari, Poleni na majukumu, ni mwanafunzi wa Bachelor of pharmacy mwaka wa Kwanza.
Ninashindwa kulipa Ada yote chuoni Ninaomba alie na uwezo japo kidogo anisaidie, ninaishi na mama Tu na Hana...
Wakuu I was in a high school in Kibaha Secondary School miaka ya nyuma kidogo.
Sasa There was this teacher, Mr. John.
Huyu Ticha He was a big guy and used to beat the living crap out of boys...
Habari wanajukwaa, nilikuwa nafuatilia loan board statement ili kujua kiasi kilichobaki nikilipe Sasa baada ya kuipata nimekutana na majanga. Yaani kiasi nilicholipa Kwa miaka Saba ya utumishi...
Hbar zenu wadau! Kwa ufaulu wa wa advance level physic,"d",bios,"c",basic applied mathematics, "E"
Naweza kupata kozi ya MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION udom msaada tafadhalii wakuu
Wadau habari. Kama heading ilivyo, naomba kujuzwa shule ya sekondari (iwe ya wasichana au mchanganyiko) yenye maadili ya kiislamu.
Pamoja na maadili, iwe academically excellent. Ikiwa ya bweni...
Wadau naomba tujadiliane kidgo kuhusu miaka ambayo elimu ya Tanzania ilikuwa na value(thamani) katika soko la ajira yaani miaka ya 90 na sasa ambapo inaonekana dhahiri elimu yetu haina thamani...
Haba JF
Naomba msaada kwa mtu yeyote anajua wapi kunapatika college inatoa Course tajwa hapo juu mkoa wa Dar es salaam.
Au
Mtu yeyote ambae anaofisi anatafuta watu wa kuwafundisha.
PM ikiwa...
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo...
Jamani hii mitaala ya elimu ya hawa wazungu ifike mahala ibadirishwe maana inawalisha sumu watoto wetu kwa kuwambia eti tumetokana na sokwe sijui nyani daaah binafsi naona haiko poa kabisaa. Hawa...
Ni taasisi ya kielimu inayo jihusisha na masuala ya kielimu kwa ngazi za awali, msingi, sekondari pamoja na vyuo vya kati
Ni taasisi inayo jihusisha na kutafuta watoto kutoka katika mazingira...
Salaam kwenu wakuu
Wiki ilopita nilieleza mateso anayopitia mdogo wangu baada yakutorudishwa kwenye mfumo wa mkopo baada yakusitisha mwaka wa masomo kwasabau zaugojwa. Tangu mwezi March dogo...
Kwema wasomi?
Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua...
Declaration of interest, Sijasoma undergraduate Udsm, Nimeishi pale kwa miaka kadhaa miaka ya mwishoni mwa 1987 mpaka Mwanzoni mwa miaka ya 1997 sio permanent bali kwa kuingia na kutoka tu, Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.