Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level.
Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na...
Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research
#natanguliza shukran
Wakuu naombeni ushauri wenu juu hizi kizi.
Kati y business information technology na information technology ipi ni nzuri zaidi..
naingia degree mwaka wa kwanza (business information technology)...
Jamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y.
Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi.
Kwanza...
Habari wakuu, dogo ana div 1 alisoma arts na biology ambayo alipata B maths C
Geo C , history A, Eng A, mengine B
Msaada pls amechaguliwa kwenda Tabora girls HGL lakini maono yake ni kwenda chuo...
Zikiwa siku 3 zimeyeyuka toka nianze kuwahudumia English medium, duh changamoto ni kua nimetoka Sekondari kufundisha vitu vigumu yani no sawa na kunishusha kwenye semi kunileta kwenye guta..
Somo...
Kwema wakuu..
Naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED. Geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gani naombeni ushauri.
Wadau habari zenu,
Naomba mwenye kujua chuo chochote Songea au Mkoa wa Ruvuma kiujumla kinachotoa kozi zifuatazo;
1. Diploma ya maabara/Pharmacy
2. Elimu ya X ray na mionzi
Ndugu zangu habari za leo!
Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia...
Hellow habari zenu wadau natumaini mpo salama. Nina mdogo wangu mwaka wa pili (HUMAN RESOURCE MANAGEMENT) mwezi wa Saba anatakiwa aanze field na katika maombi yake amebahatika kupata CRDB branch...
Habari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule...
Habari wasomi. Nimeona wasomi wengi wanatafuta vitabu vya science especially PCM.
Nimejitahidi kutafuta vitabu kama vyote vya PCM vipo softcopy kama PURE 1 & 2 MATHEMATICS, TRANTER, NELKON...
Wakuu kichwa cha habari kinaeleweka niambie chuo gani kinachoendesha kozi tajwa na ada yake nataka nijue kwa mwaka ni kiasi gani na chuo gani bei yake ni rahisi na kinachotoa mafunzo vizuri
Habari za muda huu wakuu...hongereni Man City na ubingwa wa 3 mfululizo.
Tuachane na hayo kuna mdogo wangu (mtoto wa baba mkubwa) kamaliza kidato Cha nne mwaka Jana! Ndoto na Lengo lake kubwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.