Habar wakuu!
Naomba kujua kama chuo cha Arusha Tech wanatoa certificate ya Mechanical engineering na vigezo vyao ni vipi?
Ada yao ni kiasi gani? Mazingira ni rafik kwa usomaji?
Msaada ukiomba kazi ya ualimu ukapangiwa kituo cha kazi ukaacha kwenda kureport vipi unahesabiwa kuwa umeajiriwa tayar ata kama hukwenda au unaruhusiwa kuomba tena?
Maana nilipangiwa siku report...
Habari,
Mimi ni mtumishi natamani kuhama mkoa huu ninayofanyia kazi kwa sababu ya changamoto za kimaisha na ugonjwa naomba msaada wa kimawazo njia zipi natakiwa kupita.
Hii thread ni kwa ajili ya wana chuo au watu waliomaliza chuo kabisa na wenye ndoto ya kwenda kujiendeleza kimasomo kwa Masters na PhD.
Naandika huu uzi kutokana na my personal experience.
1...
Wakuu wapenzi wa Physics ni matumaini yangu hamjambo.
Niende moja kwa moja kwenye swali:-
Hivi ikitokea mtu akatoboa tundu katika ya dunia, tundu hilo litobolewe hapo ulipo na lipitie katikati...
Kakangu amehitimu diploma ya Early childhood education mwaka 2016 alianzia ngazi ya cheti baadae Diploma.
Matokeo ya form 4 ana div four ya 32 na D ziko 3 je anaweza kupata nafasi ya kuajiriwa au...
Heshima kwenu wakuu, nina wasiwasi mkubwa sana hapo baadae katika hizi ajira za ualimu maana nikichunguza kuna shule kwa sasa walimu wanagawana maada za kufundisha hali hii inanipa shaka kidogo...
Jamani ndugu zangu nilikua naomba mnisaidie kama kuna mtu ana PDF ya majina ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tank 2021/2022 naomba anisaidie.
Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira.
Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2...
Kama kichwa cha habari kilivyo wataalamu wa bahari wanisaidie kuhusu ajira za navigation na chuo gani wanafundisha kwa hapa Tanzania na mambo mengine yote yanayohusu husu hiki kitu mtakuwa...
Habari zenu!
Nina mgogoro wa nafsi na naomba ushauri
Mgogoro wangu ni kuhusiana na chuo cha kusoma hapa Tanzania
Nilisoma Dip in civil chuo cha St. Joseph na kugraduate 2021, now nasoma mwaka wa...
Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni...
Wapendwa naomba kujua mnaosoma Sheria je? Hii course ni lazima uwe na background ya Degree ya Sheria!? Au mtu mwenye Degree ya International Relations anaweza kusoma?
Ambao mko na uzoefu naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.