Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani kwa wanaojua shule za advance za bei nafuu under 900000, HGL naomba msaada sina ada ya shule za gharama.
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu habarini za jumapili na asbh kwa ujumla. Nina ombi kwenu. Kwa mwenye uwezo wa kunipatia kitabu cha SHAMBA LA WANYAMA anisadie. Aniwekee hapa soft copy wakuu. Ahsanteni sana.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu, Kuna ndugu yangu aliyehitimu kidato cha sita mwaka 2019 lakini kulingana na halii ya uduni wa maisha alishindwa kujiunga ma Elimu ya juu licha ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa jambo fulani linalonikabili.Mimi ni mwanafunz wa chuo nimeingia kwenye allocation yangu lkn hapo kwenye returned amount ndo inanichanganya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wadau, Nilikuwa naomba ushauri ni shule ipi ya Kidato cha Tano yenye gharama nafuu kuanzia laki 8. Combination ni CBG. Niko Arusha.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Baba na mama salamu, nyumbani nawatumia, Siwezi kupiga simu, nipo mbali na dunia, Bila shaka mwafahamu, jela ninatumikia, Sina wa kumlaumu, niliyataka mwenyewe. Vipi hapa nimefika, bila shaka...
2 Reactions
1 Replies
11K Views
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
1 Reactions
2 Replies
946 Views
Msaada mwenye kujua shule ya kidato cha tano kati ya mkoa wa Dar, Moro, Dodoma, Tanga au Moshi ambayo ada yake sio zaidi ya 1.6 kwa mwaka
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi nilikua sijui kwamba kuna watu wanaweza kujiunga na masomo kwa ajili ya kusomea fitna na chuki ili kuwafitinisha watu anajiunga kabisa tena elimu ya juu na chuo kikuu Yani anasomea masomo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali. Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Hii programme inafundishwa chuo gani?.Wakuu hii kitu inatangazwa sana na TBS Jana tena wamerudia baada ya sijui niite watu kukosekana ama vipi?.Hivi kuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5.. Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks...
6 Reactions
122 Replies
34K Views
Kuna mdogo angu amemaliza form four mwaka kaja 2020 kwa bahati mbaya alipata four ya point 26 kama ifutavyo Biology C, Math F, Kiswahili C, History D, Geography D, Civics D, English, D Naombeni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu naomba msaada Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari, Chuo gani kwa hapa Tanzania, kinatoa postgraduate diploma ya Project management au Research. Na ada yake.. Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba mwenye uelewa wowote juu ya jambo hili anisaidie,Je discontinue student anaweza tena kupata mkopo kutoka heslb na ilishaawahi kutokea hivo? ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kimfano mtu umesoma nursing, degree unaweza soma degree MD, Lab, Optamery? Msaada plz
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Bwana Yesu asifiwe wakuu.. Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge...
45 Reactions
436 Replies
143K Views
Wakuu wangu natanguliza salaamu zangu za dhati na shukurani nikiamini mpo wazima. Wakuu kwa heshima yenu ningependa kujua kutoka kwenu eti aliyesoma Combination ya EGM anaweza kusomea cozi ya...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Naomba kuuliza eti ukihitimu Diploma ya Ualimu wa shule za msingi unaweza kuendelea na degree ya shule ya msingi au secondary, Bila kupita Form Six?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom