Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu course ya Molecular biology and biotechnology, kazi gani utafanya baada ya kusoma? Uwezekano wa kujiajiri na unajiajiri vipi?
Uwezekano wa kuajiriwa ukoje
Habari Jf,nifanye nini ili niweze pata hizi namba za siri za account niliyo ombea chuo kila niki jaribu ku renew kwa kupitia email na ambiwa email is alredy taken au ni system za udom ni mbovu
Wasaalam,
Kwa kipindi ya miaka sita iliyopita hadi sasa kumekua na mdororo mkubwa kwenye uhai wa shule kubwa na kongwe za Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hali hii imepelekea...
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za...
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio...
Naomba kuuliza,
Nataka kufanya kazi za Kuuza duka la dawa, elimu yangu ni form 4. Vipi hapo naanzia wapi au kikasomee kozi gani na ni kwa muda gani?
Wadau msaada.
Wanajamvi habari za leo,
Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika...
Habari za leo wanajukwaa,
Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY...
Kozi gani nzuri kwa ngazi ya cheti?nilimaliza form six nikapata div 4 point 19 ya HKL.FORM 4 NILISOMA ARTS PURE NA KUPATA C-5 NA D-3.nimepiga vibarua nimepata hela ya ada hivyo nahitaji kujua kozi...
Katika taratibu na sheria za kimataifa inaitwa Municipality.Ni jengo moja tu lililoko juu ya nguzo baharini karibu na Uingereza.Ina mengi ya kushangaza lakini raia wake wengi wanaishi nje ya eneo...
Mimi ni kijana Wa umri wa miaka 22 nimemaliza kidato cha nne ila kukaa nyumbani nikaona noma ndio likaniijia wazo la kutafuta ujuzi mi nikaona nijifunze ufundi umeme wa magari nipo Dar Kwa mwenye...
Habari,
Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
Naomben msaada kwa mwenye contact za mkuu wa shule au mwalimu yeyote aliepo karema sec iliyopo mpanda katavi nimeshindwa kupata joining instruction ya 2020/2021
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.