Ushauri tu
Kwa vijana au wenye ndugu walioenda JKT mujibu wa sheria kipindi mkiwa mnakaribia kufunga mafunzo kuna nafasi huwaga zinatolewa kwa wanafunzi waliofaulu hesabu “C” kwenda kufanya...
Habari zenu wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye swali langu,wakuu nina mtoto wa shangazi yangu yupo hapa kwangu, aliomba kusoma VETA kwa ufadhili wa ofisi ya waziri, lakini tokea afanye maombi...
Nimechaguliwa kujiunga form 5 katika shule ambayo haikuwahi kuwa na advance, yaani ndiyo tunaenda kuifungua, ina 0 level ambao matokeo yao tu ya form 4 mwaka jana hayakuwa mazuri, haina walimu wa...
Naomba kujua diploma ya uthibiti ubora shuleni inayotolewa na chuo cha Adem inakuwezesha kusoma degree yoyote hapa nchini maana nasikia tetesi kuwa haiwezeshi kusoma degree msaada tafadhali kwa...
Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi.
Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na...
Habarini wakuu,
Naomba kuifahamu kiundani hii shule.
Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi?
Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi?
Historia...
Wadau inakuaje?
Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply.
Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama...
Jamani na rafiki yangu ambaye anasoma chuo jirani na Mimi hapa Arusha yeye ilibidi aingie mwaka wa pili lakini lakini Kuna shida ilimpata ya masikio yaani kwamba masikio yaliacha kusikia miaka ya...
Habarini!!!
Siku za hivi karibuni nilikua ofisi za mfuko wa taifa wa bima ya afya nikishughulikia maswala yangu yanayohusiana na bima.
Niliwakuta wanafunzi wa SAUT waliokua wakihuzunisha...
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria...
Hello hanari ya muda huu wadau?
Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi...
HESLB YATOA SIKU TANO (05) ZAIDI KUOMBA MKOPO
Ni kuanzia Oktoba 1 hadi 5, 2020
Lengo ni kuwapa fursa vijana waliokuwa JKT kuomba
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha...
Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa...
Habari za mda huu wakubwa,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha...
Ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi.
Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi.
Pia unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.