Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
To effectively achieve the goals of an organization, people with the right set of skills and competence should be assigned to strategic positions at the right time and under the best suitable...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Naombeni msaada na shida na joining instruction shule ya iyunga mbeya kitado cha 5 kwa mwaka 2021/2022. Nimeingia tamisemi naona inagoma.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Jamani kwa yeyote mwenye details za Chuo cha Takwimu Changanyikeni Dar es salaam especially kuhusu course za masters wanazofundisha hapo. Naomba anisaidie nategemea kuaply for masters kwenye hicho...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye Hard copy ya hiki kitabu tafadhari. au mtu ambaye anaweza kunielekeza pakukipata.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina binti amechaguliwa Mtwara TTC kwa hiyo nilikuwa napendelea nimuamishie mikoa ya karibu kwani mimi nipo Tanga na halafu ikishindikana nataka nithibitishe kwenye mfumo ila unagoma tangu Jana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavosema nilikua naomba msaada kuhusu hii course je PCB anaweza isoma na kama ndio ni chuo gani anaweza pata akiomba Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
13K Views
Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi ni course za engineering zinazolipa/ziko moto kwa TANZANIA...hizi course ni 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSSING ENGINEEERING zote hizi...
3 Reactions
104 Replies
32K Views
Habari wadau, Nina mdogo wangu wa kike ameona aombe kusoma open university lakini kutokana na mkanganyiko uliopo inamletea shida ni kozi ipi asomee Kati ya hizo mbili hapo juu na nyengine ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Mimi nilifaulu kidato cha pili 2012 kwa wastani wa C je naweza kwenda chuo cha ufundi kusoma ili nifanikiwe kupata hata diploma na umri umekimbia ni miaka 24 sasa msaada. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaweza pata leseni ya kuuza dawa Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari Wakuu. Nahitaji Mwalimu kwaajili ya Shule ya Watoto wa English Medium School. SIFA: 1. Awe amesomea na kufuzu mafunzo ya Ualimu 2. Awe mchapakazi 3. Awe na uwezo wa kuzungumza vizuri...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jioni, Nilikua naomba msaada kwa mtu anaejua kuna mdogo kapata III ya 25 lakini selection zimetoka ajachaguliwa kwenda chuo au advance wakati kunawenzie wana alama kama yake na...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania Commission for Universities: News & Events 1. Final_Third Draft Admission Guidebook Equivalent Applicants 19052021.pdf 2. Undergraduate Admission Guidebook for 2021/2022 (For Holders...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Sera hii ya elimu bure haitufai watanzania eidha hatujafikia hatua hiyo kutoa elimu bure au elimu haipewi kipaumbele. Taaluma imekufa watoto wamrundikana madarasani Tena wamekaa chini, mwanzo wa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuulizaa je Kuna uwezekano wa kufanya udahili kabla matokeo naona tcu wameandika kuwa dirisha la udahili linafunguliwa tarehe 13 June.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom