Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty
Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je...
Nawasalimuni kwa jina la JMT
Ni muda kitambo umepita (yapata miezi minne) toka matokeo ya kidato cha NNE yatoke, lakini hadi leo selections/placements hazijatoka.
Ni vyema kasi iliyopo katika...
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.
Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza...
Habari za mchana wananzengo
Mito, Mifereji na vyanzo vingine vya maji hutiririsha maji yake kuelekea baharini
Naombeni kuuliza, ni kwanini bahari haijai?
Hi bosses,
Nimemaliza diploma ya clinical medicine 2011.
Sasa na-plan kupiga shule this year, ila kuna kitu kinanitatiza with regards to GPA inayohitajika wakati wa admission.
Ile paper ya...
Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni...
Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha...
Utaratibu huu ambao ndio kama sera ya vyuo vikuu vingi nchini kiliwemo Chuo Kikuu cha Dar -es-Salaam, sio tu umepitwa na wakati, bali pia haufai kwani unachangia vyuo kuwa na walimu ambao...
Salamu kwenu wakuu,
Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa...
Wakuu, habari ?
Mi napenda tusaidiane kuhusu course ya Bachelor of philosophy with education (inatolewa SAUT-Mwanza) -what next kwa atakae-graduate first degree ya hiyo course? (Betterment...
Waalimu naomba mnisaidie hii,
Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.