Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hello Habarini za wanajamii forum? Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia chafu ya kuweka mazoea mabaya na wanachuo kiasi kwamba walimu wanapokea pesa ili kuwafaulisha wanachuo na watoto wa kike baadhi yao wanalazimika kujitoa miili yao. Hii imezoeleka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana Jf, Naomba msaada kwa mtu aliyesahau password za NACTE.
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari wana jukwaa, Mwezi July namaliza bachelor degree yangu nikiwa nime specialize kwenye physics. Natamani nikimaliza nipate scholarship ya kwenda nje nikasome material physics. Naombeni...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa. Kumbuka 6t2 ni six times t square Welcome
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari Wana jamii forum, hivi Kuna uwezekano mining Engineer kuweza master of science in Pavement Engineering? Majibi yeni ndio msaada wangu. Asanteni sana.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwako mheshimiwa waziri wa OR-TAMISEMI napenda wizara yako itambue kuwa mfumo wa waalimu Tanzania wanaandaliwa kwa mitihani na kufaulu kwa Madaraja tofauti hivyo wizara yako kupendekeza kigezo...
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri 26 nimehitimu kidato cha 6 2019 HGE matokeo yalikuwa EDE. Napend Sana niende chuo ila maisha yamenipiga Sana nmesoma kama PC nilikosa ada na mwaka huu nimerudia somo moja la...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Habari za leo wakuu, nimechaguliwa Diploma in Mining Engineering katika Chuo cha Madini Dodoma, naomba kujua mwenye uelewa wowote kuhusu 1.source nzuri za materials 2.njia nzuri za kutumia katika...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali 1. Rich Dad Poor Dad 2. Why A students Work for C students 3. Cash Flow Quadrant Vitabu vyote hivi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting. Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu, mwaka wa kwanza katika fani ya uhasibu. Naomba msaada katika mambo yafuatayo: 1.Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bodi ya UGAVI na MANUNUZI Tanzania Kuna Nini mbona mambo yamesimama tatizo lipo kwa Nani hasa watu wametuma maombi ya kusajiliwa tangu mwezi wa Tisa 2020 Lkn hamna usajiri unaofanyika, mitihani...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu, Natanguliza samahani kwa usumbufu. Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wadau ,naomba mnisaidie kidogo kwa wale wanaokifahamu vizuri chuo Cha uongozi wa mahakama LUSHOTO, kina ubora kiasi gani na nitakapomaliza naweza kuhudumia jamii kwa kuaminika nikawapa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kimasomo kwa atakayeguswa ama anaefaham mashirika yanayotoa misaada ya kimasomo kwa ngazi ya cheti. Natamani sana kuendelea na masomo ila hali ya kimaisha ndo...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom