Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari ndugu zangu, Kichwa cha uzi kinajieleza. naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam? Hoja yangu ni hiyo naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi ni kijana ambaye nipo chuoni kwa sasa nachukuwa bachelor degree. Jana nilifanya interview ya kwenda kusomea lugha na Turkey culture nchini uturuki kwa muda usiopungua mwaka mmoja...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Mada [emoji117]Je harakati za ukombozi wa Afrika zimemkomboaje kiuchumi na kifikra?
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Natumai mpo poa, naomba mnisaidie kidogo niliomba kujiung na TIA kwa ngazi ya cheti. nimechaguliwa lakini sijafahamu vitu gani natakiwa kuchukua baada ya kuliona jina langu ili kukamilisha usaili?
0 Reactions
13 Replies
24K Views
Jamani eeh anayejua shule za ufundi za private sekondary tofauti na za serikali naombeni mnisaidie. tofauti na hizi 1. Rhino technical 2. Samartan technical 3. Donbosco 4. Sisters of mary...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne. Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa elimu, kwenye account yangu ya mkopo(HESLB) nimewekewa ujumbe huu na inaonesha sijapata mkopo. Hvyo nataka nikate rufaa(Appeal) ila sijui option ipi niingie au nifanyaje..? Kwa...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Jamani eeh anayejua shule za ufundi za private sekondary tofauti na za serikali naombeni mnisaidie. tofauti na hizi 1. Rhino technical 2. Samartan technical 3. Donbosco 4. Sisters of mary...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mwaka Jana Hali ilikuwa tofaut kidogo, post zilitoka mapema sana.ila mwaka huu mambo ni tofaut kabisa. Hadi mdahuu no posts. Kitu gan kinakwamisha?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bachelor of Arts in Political Science and Public administration ni moja kati ya programmes bora zinazotolewa Afrika Mashariki. UDSM inatoa mafunzo kamilifu na yenye kiwango kikubwa ila...
2 Reactions
39 Replies
11K Views
Habari wana JF Msaada wa kimawazo unahitajika Wakuu ndugu yenu hapa nilituma maombi ya kujiunga na chuo cha mweka kwa awam ya Kwanza kwa bahati mbaya Sana sikufanikiwa kupata Cjakata tamaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada wa ushauri juu ya hili swala bamkubwa kanishauri nikasomee chuo kinaitwa Mweka cha Wildlife kipo Moshi na sijajua kuhusu ajira zake kama zipo vizuri au ni za shida ukizingatia elimu...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Kwa wale wote mliojaza b.a law enforcement udsm.hii ni degree special kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama na inatolewa udsm tu. mara nyingi jeshi la police limekuwa likiwachukua mapema kwa...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
Hebu tukutane hapa tunaosoma hizi kozi au tuliomaliza hivi karibuni tupeane msaada jinsi mnavyoweza/mliweza kupata data hasa kwenye mitandao hasa ya serekari kama TFDA, MOH, MOF , au WHO, na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarin Wakubwa mim ni ndugu yenu mmoja kat ya form six leaver na nmefaulu kwa kiwango cha Div II.10 katika Tahasusi ya PCB kama ifuatavyo phy-D, Chem-C,Bios-C,Bam-D,Gs-E.Nmekuja jukwaani kuomba...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu jf members ! Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering. Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ninawezaje kupata scholarship ya kwenda kusoma Masters...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari za weekend ndugu zangu. Mwezi June-July mwanzoni nitahost vijana kama 9 wa kidato cha 4 kutoka kijijini kwetu ambao niliwapromise kuwasaidia waweze kufanya vizuri zaidi kwenye mitihani yao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom