Habari za leo,
Kama nilivyoelezea hapo juu, nahitaji ushauri wenu. Mimi nimaliza shule Mwaka 2019 lakini matokeo yalikuja mabaya, yaani nilifeli hivyo lengo langu lakutaka kurudia mtihani Mimi...
Wakuu habari ya majukumu?
Tafadhali naomba kufahamishwa ni wakati gani hasa wa kufanya taratibu za kuomba mkopo wa HESLB? Je, ni mara tu baada ya kumalizika mitihani ya kidato cha sita au ni...
jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali...
Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi?
Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha...
Habari wadau?
Hivi Kwani Mwanafunzi anakaa miaka Mingi anasoma tuu mwisho anamaliza hana ujuzi?
Kama zamani iliwezekana Kupunguza Madarasa kwanini Sasa hivi ishindikane?
Elimu yetu Primary...
Everything is f*cked,a book about hope.
Author Mark Manson.
Je unakubaliana kwa kiasi gani na yaliyoandikwa humu.
What are your opinions about this book?
Habari zenu wanajamii, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Shahada ya jinsia na maendeleo hapa Dar es salaam.
Naomba ushauri ni fani ipi ya ziada ambayo naweza kuisoma...
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa...
Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha.
Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza...
Napenda sana mambo ya astronomy nimesoma sana mambo hayo kwenye mitandao ...nisehem gan mtandaon nawexa kupata machapisho mazur yaliyopangiliwa kuhusu anga za majuu
Habari,
Ninaomba kujua chuo Tanzania kinachotoa degree ya Mass Communications kwa holiday studies, yaani unajisomea nyumbani unakuwa unaenda kufanya mtihani.
Ahsante
Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa...
Kwa waombaji wa ajira za ualimu ,mm katika mfumo wa Maombi napitia changamoto kitaka kuongeza taarifa za sekondari(form six) nkiandika index number mfumo unaleta ujumbe huu“ index number does not...
Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na...
Wakuu habar!
Hongere kwa waislam kuuona na hatimaye Eid imewadia.
Nikienda moja moja kwenye mada, Zamani kulikuwa na utaratibu wa udahili wa wanafunzi katika elimu ya juu kuomba vyuo kupitiwa Tcu...
Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja...
Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020
Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.