Habari wakuu,
Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password).
Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta...
Habari wana Elimu, na Heri ya sikuku ya iddi kwa wale walioamua kuisherekea LEO
NAOMBA kujua kuhusu chuo Cha Tenguru na coz ya special Education:-
1:- vigezo vya kujiunga na ada Yao ni Tshs...
WanaJF
Nafasi za udahali wa wanafunz chuo kikuu cha Dar es salaam sio nyingi kwa pande zote, but kwa dip holders idadi ni finyu zaidi hii inasababishwa na nin? Na vigezo ni vipi.
Wakuu, ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninaomba kama kuna mwenye PDF ya vitabu vifuatavyo anisaidie:
Principles of Physics by Nelkon
Abott Physics na
Lambert Chemistry...
Naomba kupata orodha ya walimu bora waliowahi kuwika au bado wanawika katika somo la Mathematics A Level kwa shule zetu hapa Tanzania.
Naanza na Mwl Torger Onstad- Old Moshi Sec miaka ya 80.
Najua JF nikisima cha maarifa naomba mnisaidie maana ya visual office na jinsi zinavofanya kazi.
Pia mfano wa visual office nchini Tanzania.
Shukrani sana
Huu uzi nimeuanzisha kwa lengo la kukutana wale tuliosoma chuo cha ualimu Vikindu au wanaoendelea kusoma pale chuo.
Uzi huu ni mahsusi kwa kusaidia juu ya changamoto mbali mbali .
Kujulishana...
Habari zenu wana jf naombeni ushauri Wa kozi hii ya Records management. nimechaguliwa coz ya recods katika chuo cha utumishi Wa umma ngazi ya degree kwa anayeifahamu naomba anielezea upatikanaji...
Tamasha za Iddy,
Idi za Waislamu ni mbili: Idi ya Fitri baada ya mwezi wa Ramadhani na Idi ya Adh›ha baada ya siku ya Arafa. Na Mwenyezi Mungu Ametupa Idi hizo ziwe ni badala ya Idi za kijahilia...
Kwa miaka mingi sasa tumeacha wanasiasa wakijadili mitazamo mbalimbali ya mustakabali wa elimu yetu hasa wakiangalia output ilioko mtaani bila ajira. Haya ni maoni yangu ya nini kifanyike.
Mosi -...
Habari wanaJF,
Samahani naombeni Mnisaide hivi Mtu anapataje sponsorship kwa mfano ya kusoma Canada, ni kwamba unaomba?
Naombeni tu kufahamu juu ya hilo.
Asanteni
Kuna dogo anataka kusoma uchumi , ninaomba ushauri ni course gani achukue kati ya BCOM ya UDSM na Bachelor of Science in economics and finance ya IFM?
Wajuvi nisaidieni.
Elimu Bure ni sawa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kumlipia mwanachuo pesa ya Tuition Fees peke yake na kuona kuwa gharama za mwanafunzi zimeishia hapo.
Nini kilichonisukuma.
Kuna jamaa yangu...
Mnisaidie chuo kizuri EA kwa ajili ya watu waliosoma diploma ya environmental health science kiendelea na digriii.
Kiwe cheap, effective na sifa zingine nzuri za chuo na gharama za first year...
Mimi nnakumbuka mwalimu wangu wa darasa la kwanza mwaka huo 1998 shule ya msingi Mashujaa alikuwa anaitwa Mwalimu Nungu, vp wadau wewe mwalimu wako wa darasa alikuwa nani!?
Nlikuwa na marafiki...
Habari wadau,nataka kuanza kusoma masomo ili nifanye mitihani ya bodi NBAA kwa kuanza na foundation level. kwa mwenye notes anaweza nisaidia maana nipo mkoani hakuna namna naweza kuhudhuria...
Naomba msaada wa channel wanapofundisha masomo haya nimejiunga na open university
1. Communication skills
2. Geography
3. Development studies
4. Business mathematics and statistics
5. Introduction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.