Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mwaka jana tulitangaziwa kwamba Tanzania imeingia uchumi wa Kati. Je kuingia kwa uchumi wa Kati, kumeifanya Tanzania kutoka ulimwengu wa tatu?
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Sioni tatizo wanafunzi wa UDSM wakitembea na ID zao jiji zima What is the point of university of Dar es Salaam if they don't? Na mtuache kutupiga piga na mawe kwani hakuna Miti mingine yenye...
5 Reactions
146 Replies
17K Views
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kilivo kichwa cha habari hapo juu naomba kuuliza hivi kozi ya Tourism kupata mkopo ni uhakika Degree? na je kama jina la kitambulisho cha Mzazi yani Baba jina lake spelling ni tofauti halafu...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Hellow wadau wa Jukwaa la Elimu. Naomba kujua timetable ya watu wanaosoma Evening Masters Programme CoICT au College yoyote ya science hapo UDSM. Masomo huanza saa ngapi na kuisha saa ngapi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Bed special needs 2. Bed psychology 3. Bed in policy planning & management,
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu zangu Kuna kozi fulani hivi inaitwa fitter mechanical nasikia inatolewa na veta ila sijui veta ya mkoa gani na ipi naombeni msaada kwa hilo.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuomba ufadhili diploma inawezekan a?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimesoma ukurasa wa Malisa huko Instagram akijaribu kumtetea mwalimu mmoja mwenye elimu ya juu kabisa kiwango cha Masters, lakini mwalimu huyo bado analipwa mshahara wa elimu ya Certifacte hadi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu wa JF. Leo nimemkubuka Mwalimu wangu na kwa wengine ambae ni bora kabisa katika kizazi hiki na kijacho. Huyu si mwingine ni Ngaola au ukipenda muite Moddy Physics/ Commissioner...
6 Reactions
61 Replies
15K Views
Jaman naomben msaada kwa anae jua maeneo ya field apa Dar. Mimi nasoma mechanical Engineering Diploma DIT ndo niko mwaka wa kwanza nlikua naomben msaada wa kuelekezwa maeneo ya kwenda ku apply Field.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mama Samia aangalie suala la kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma maana elimu ya diploma ni taaluma ile tena taaluma nyingine za diploma zina tija kuliko hata za degree. Aangalie mfano chuo cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Niimemaliza degree ya elimu natamani kujiendeleza kielimu ili niweze pia kuhama carrier hizo course tajwa ndion kipaumbele changu. Naomba msaada wa ipi ni sahihi kuisoma au kama kuna nyingne...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow wana JF nilikuwa naomba tueleweshane na kujuzana kuhusu ili. Tukiangalia Tanzania inazidi kujua ila na kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda sasa swali langu lipo hapa. Hivi kwa mtu anayesoma...
4 Reactions
33 Replies
47K Views
Habari wakuu, Leo nimeona niwaletee app kutoka Google Playstore ambayo naamini itawasadia kwa namna moja au wale wanaotafututa nafasi za kusoma vyuo vya nje ya nchi katika fani mbalimbali na ni...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za leo wakulungwa. Kwa anaefahamu shule maalum ya wasichana manyunyu iliyoko wilayani Njombe SHULE HII NI BWENI AU KUTWA MAZINGIRA KWA UJUMLA UFANISI KIMASOMO nawakilisha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi ukitaka kumhamisha kijana wa kidato cha kwanza kutoka shule ya kutwa ya serikali kwenda shule ya bweni ya serikali iliyopo mkoa tofauti unafuata procedures gani?? Mwenye anajua anisaidie apa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa la elimu. Kumekuwapo na sites nyingi sana na scholarship za wazi kwa ajili ya wanaotaka kusoma masters au phd na imekuwa wazi kweli kwa maana hata upatikanaji wa habari zake...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
0 Reactions
2 Replies
845 Views
je Kama mtu amemaliza diploma ya HRM na kupata GPA above 4 anaweza kusoma Kama economics and statistics, philosophy and ethics au psychology?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom