Enzi hizo Iyunga ilikuwa kama kambi ya JESHI. Viongozi wa shule waliitwa Rais na Mawaziri
Kura ilipigwa kwa Rais tu, Na Rais aliunda Baraza la mawaziri. Hakukuwa na neno kiranja yaani Prefect...
Wasalam,
Hili swali limekua nikijiuliza miaka mingi mno lakini sipati majibu haswa ni nini walidhamiria wizara ya elimu.
Hivi kwa wanafunzi wanaosoma shule zenye michepuo ya ufundi kama Ifunda...
Elimu siku hizi ni ile bora ni graduate mjomba atanisaidia nipate kazi.
Kwanini nasema hivyo, nimeenda na kuona interview nyingi sana baadhi ya wahitimu wanaokuwa wamemaliza hawana uelewa wa...
Habari ndugu wana Jf,
Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii.
Asanteni
Hii kozi ni nzuri inawaandaa viongozi wa Elimu. Nawasifu Maprofesa walioandaa kozi hii. Kiongozi yoyote wa elimu ambaye hajasomea kozi hii lazima ataonesha mapungufu tu katika utendaji wa kazi...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza
Jamani ndugu wanaJF nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda...
Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule...
Wadau Mimi ni mwalimu.mwaka huu wa masoma 2021/2022 nimepanga kwenda masomoni,naomba ushauri wenu kwa upande wa education Kuna course gani nyingne nzuri tofaut na hizi ,BAED art au BAED science,
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania...
Natumai muazima wa afya nisiwachoshe tusichoshane shida yangu Mimi nahitaji masomo ya mtandaoni Kati ya masomo hayo IT na kingireza kisikose.
Shule nilikimbia...
poleni na maombolezo ya siku 21 na heri ya sikukuu ya pasaka. tupige story kidogo.
tuliosoma primary school na sekondari miaka ya 80 mpaka 90 tumeshuhudia mengi sana ya kusisimua.
moja ya visa...
Habari wanajamvi! Leo nimekumbuka maisha ya shule ya Lomwe pamoja na shule jirani kama Shighatini,Kiriki na Minja. Naombeni tujikumbusheni kidogo kipindi hicho.
Wana Jukwaa;
Sikumbuki heading yake wala mtu aliyeyaandika maneno haya. Nimejaribu kusoma post ile ya "LIFE AFTER DEATH", ikanichanganya, nikaona nirudi kwa huyu bwana, aliyewahi kuandika maneno...
Mambo vipi wanajamvi?
Tasinia ya IT (Information Technology) au TEHAMA kama alivyonikaririsha mwalimu wangu Mzee Malima wakati ananicholea CPU kwenye ubao.
Niliipenda hivyo hivyo japo...
chuo kikuu flani cha dini nyanda za juu kusini katika kukamirisha final year project,
Department ya BSc imeamua kutaa kabisa
project title zinazoonekana kuwa simple na easy ; ( management system...
Kuna dogo alimaliza kidato Cha nne
Alipata ufaulu ufuatao
HISTORY:-D
GEOGRAPHY:-C
KISWAHILI:-C
ENGLISH;-C
CIVICS:-C
BIOLOGY:-F
MATH:-F
LITERATURE:-D
JE ANAWEZA KUSOMA HGE KAMA SCHOOL CANDIDATE
Wakuu kama kawa tunaendelea kuwapata madoctors hapa Bongo. Open University nao kwa kufuata wenzao wa Mlimani wameamua kumtuza Mzee Ruksa lidigrii la Udaktari.
Kwa maelezo zaidi bofywa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.