Habari za mchana ndugu zangu. Naomba MSAADA wa yeyote anaefahamu chuo kinachotoa certificate ya medical lab chenye GHARAMA nafuu ili niweze kumpeleka ndugu yangu.
Kwa mwenye kufahamu anitajie ila...
2020-10-13 18:01:04
Image:Facebook.com
As times is moving forward, so the technology is also introducing more effective and efficient solutions. However technology advancement brings about...
Habari wanajamvi, naomba niende kwenye mada yangu, kumekuwa na matamko ya maafisa elimu(DEO's AND REO's ) kwamba kufikia mwezi wa sita waalimu wawe wamemaliza SYLLABUS na huwa wanaenda mbali zaidi...
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa kike amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu.
Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor...
Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
Mdogo wangu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.
Naombeni ushauri.
Salaam Wakuu..!!
Naomba kufahamishwa kama kuna shule ya A-level ya Private yenye mchepuo wa CBN - Chemistry, Biology and Nutrition ili niweze kumpeleka binti yangu
Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea.
Moja kwa moja niende kwenye mada.
Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja...
Ni kozi ipi ni nzuri: Clinical medicine (clinical officer at graduation) au Diploma in Nursing. Wengine wanasema Clinical medicine ni vigumu kwenda Doctor of medicine (MD), while for Nursing ni...
Wakuu mm ni graduate wa chuo flani hapa tz.
Kama ilivyo ada pale mtu anapohitimu level flani huwa anafanya sherehe kwa ajili ya kujipongeza kwa kumaliza hatua hiyo mujarabu kabisa.
Mimi katika...
Natanguliza salam zangu kwenu:ombi langu kubwa nikuwa mm nimuhitimu Wa certificate of account nahitaji kubadili niweze kusoma diploma ya nesi je nifanyeje kuweza kukamilisha hilo maana vigezo...
Habari ya muda huu ndugu mkereketwa wa JF,
Nikiwa mmoja wa wanachuo tunaojiandaa kwenda kufanya mafunzo ya vitendo (field or practical training) mwaka huu mnamo Julai, nimependezwa mno kurudi...
ELIMU BURE IONDOLEWE, WATU WAANZE KULIPA ADA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Hakunaga kitu cha bure kikawa na thamani, sijawahi kuona popote pale tangu nimezaliwa; hivyo ndivyo naweza anza makala...
Wakuu kwema..!! Nina Kijana wangu anatarajia kwenda Form V mwaka huu sasa anataka kusoma mchepuo wa CBN yaani Chemistry, Biology na Nutrition. Mwenye ufahamu wa shule ya private inayotoa mchepuo...
Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari).
Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.