Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimefanya field nimemaliza ofisi fulani ya Serikali cha kushangaza wanatupiana mpira kunijazia log book! Hadi sasa hivi sijajaziwa kila mtu hataki kunijazia, nifanyeje?
5 Reactions
75 Replies
11K Views
Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
1 Reactions
13 Replies
6K Views
#Hoja_Ya_Wanafunzi_wa_UDOM ( By Mh. Halima Mdee, MB) Watu wengi wanaohoji nini kiini cha tatizo la wanafunzi wa UDOM? Wamefanya nini? Kwanini wamefukuzwa? Kwanini iwe usiku wa manane? Nini hatma...
16 Reactions
48 Replies
10K Views
Kuna scholarship kuanzia Bachelor's degree. Fuata maelekezo. Kila la kheri! We are thrilled to announce that PolyU is still open for applications for its PolyU Entry Scholarship, which are...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Read the following poem and then answer the questions that follow: Your pain Yet more my pain Shall suffocate oppression Your eyes Yet more my eyes Shall be speaking of revolt Your scars Yet...
2 Reactions
13 Replies
31K Views
Salaam kwenu, Nina mdogo wangu kahitimu chuo .Ana Degree ya ualimu lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya...
1 Reactions
37 Replies
24K Views
Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi wajawa hofu 2008-07-28 16:02:48 Na Job Ndomba,Jijini Wanafunzi zaidi ya 150 wa Chuo Kikuu cha Ardhi wamejawa hofu ya kukosa sifa za kuendelea na masomo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania naomba kuwauliza, Hivi mtihani wa darasa la nne unalipiwa ada? na ni shilingi ngapi
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mdogo amepata nafasi ya kwenda kusoma chuo nchini India ,mpaka sasa ana mwaka na zaidi yaani toka mwaka Jana janga la Corona lilipoanza mpaka sasa.Vyuo vingi nje nchi India vimefungwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kwema, naomna msaada wa shule nzuri (mazingira na performance) za kidato cha tano na sita zinazopatikana mkoani Kilimanjaro na Arusha Note - Iwe boarding - Mchepuo wa science na biashara...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wakuu! Naomba kujua shule ya serikali nzuri ya msingi inayofundisha wanafunzi wenye ulemalevu wa akili Mkoa wa Mwanza. Ikiwa ya boarding itapendeza zaidi. Asanteni.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
l Larry Shaw mwanzilishi wa Pi Day akiwa ktk exploratorium. Keki maalumu. Siku ya Pi (π) duniani – 3.14, March 14 kila mwaka. Je ulishawahi kusikia sherehe za Siku ya Pi (π) ? Ikiwa...
5 Reactions
48 Replies
12K Views
Watu wengi wasiokuwa na mafanikio ni Wale wasio jua na muda. Muda ni mali hawa ni wale wanaoona jua linachomoza na kuzama na pengine wanapenda lizame mapema waende kulala. Maana hawana cha...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu wa jukwaa la wachache Tunapoongelea hesabu hakuna asiyefahamu umuhimu wake. Maana matumizi ya hesabu yapo kwenye masomo mengine yote isipokuwa yale ya lugha tu ambayo yametawaliwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua wanamahesabu mmenielewa namkaribisha yeyete achanganue hiyo maneno pie=3.14 l Larry Shaw mwanzilishi wa Pi Day akiwa ktk exploratorium. Keki maalumu. Siku ya Pi (π) duniani &#8211...
8 Reactions
27 Replies
8K Views
Nimefanya mtihani mwaka 2017 nikapata iv ya 31 yaani c,moja na D mbili nikarisit nikapata tena D mbili. Kwa vigezo hivi ninaweza kujiunga na course pale Bandari college ngazi ya certificate? Asante.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARI WANAJAMVI, 1. Mercury- ktk hii sayari kwanza ndio sayari iliyopo karibu na jua letu. Wataalamu wanasema kwamba hii sayari hakuna mvua inayonyesha huko kwa sababu mercury haina atmosphere...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya saa hizi ndugu zangu. Naomba msaada kwa yeyote mwenye detail na kozi ya CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC SCIENCE inayofundishwa Chuo Kikuu cha Dodoma. Kuna mdgo wangu anahitaji...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom