Yani Mimi mama angu amenikwaza sana anatupelekaje Mimi na mdogo angu course moja? Alafu uhasibu level ya diploma naona kama ni kukosa mawazo ya kuamua vitu bila kufikilia fani yenyewe haina ajira...
Wakuu habari za wasaa huu?
Kama heading inavyoeleza, naomba kufahamishwa HESLB wana vigezo vipi katika kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao wanaingia wakiwa na stashahada (equivalent entry).
Naomba...
Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?
Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme.
n.k.
Hudaiwa huku mitaani kwamba wale...
..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita Hostel,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla...
wizara ya elimu taasisi yenu mliyoipa kazi ya kuchapa madaftari ya wanafunzi, yenye nembo kwenye kava la juu imeandikwa Champion na picha ya mchezaji Chriastian Ronaldo kuna sehemu imebolonga...
Ndugu wanajukwaa habari zenu.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi Tanzania nimekaa nimetafakari matumizi ya hizi orodha katika madaftari ya wayoto wetu nimegundua yana athari mbaya sana kiaalum...
Habari za leo wakuu,
Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya.
1. Bachelor of Commerce
2. Bachelor of...
Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting
1. Unapataje mafunzo yake
2. Kiwango gani cha elimu s.t.d 7, 4m4, 4m6 au kivip
3. Chuo kipo wapi?
4. Vipi kuhusu ada
5. Unasoma kwa...
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?
Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB...
Habari,
Naomba kujuzwa kama kuna chuo chochote Tanzania au nje kinachotoa course online zinazohusiana na kilimo na wanatoa certificate?
Iwe ni short course au vinginevyo.
Asante
Naomba ushauri juu hili la viboko mashuleni. Kumekuwepo na kasumba imejitokeza katika shule za sekondari wilaya ya kyela. Walimu wanapiga wanafunzi kama vile sio binadamu.
Mwanafunzi kupigwa...
Habari wakuu,
Napenda kuuliza wadau wa elimu humu kwamba inawezekana mtu kurudia upya kufanya mtihani wa QT?
Kwa maana kwamba tayari alishafanya QT mwaka 2015 na akafaulu target yake ilikua...
Wadau,
Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu...
Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie.
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa...
Habari za muda huu wa kubwa,
Nasikia kuna maabiliko kwa supp na repeat module. Mtu mwenye supp hatoruhusiwa kuendelea na level ya mbele mpaka atakapoweza kuchomoa na pia kwa repeat module...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.