Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Wakuu, Mmoja kati ya Wataalam wa masuala ya kujifunza maarufu kwa jina la Jim Kwik aliwahi kusema,"Wengi tunaambiwa tujifunze,Lakini si kila mtu anaweza kukufundisha mbinu za kujifunza"...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu mimi nimemaliza form comb PCB niliappy nje kwa kupitia global education na hz ndio course nilizopata je ipi course nzuri hapo? Maana lengo langu lilikuwa na MD (DOCTOR OF...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekutana na hii calculus hapa na nikagundua kuwa kwenye maelezo yake kuna matataizo. Je kuna anayeweza kujua kuna tatizo gani? Calculus yenyewe hii hapa kwenye hii link...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mashindano ya 8 ya uwandishi wa essay kwa wanafunzi waliopo vyuo mbali mbali Tanzania.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mwanafunzi nasomanae ana akili sana! Sasa mwaka huu amejiingiza sana kwenye makundi. Kuna kundi ambalo wenyewe hawawezi kuingia bila chabo kwenye chumba cha mtihani. Leo nimemkumbuka tu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari! Naomba kujuzwa ada za driving school, japo najua zitakuwa na utofauti kati ya centre moja na nyingine, ila ile standard kabisa ambayo nitakuwa sijapigwa ina range kiasi gani. Ps:ndo...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wadau, Nimepangiwa hostel za Magufuli pale opposite na Mawasiliano. Natafuta mwanafunzi wa UDSM anayetaka tufanye exchange nihamie main campus au mabibo hostel.
2 Reactions
80 Replies
18K Views
Ni kweli kuwa mfumo wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika ?
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini wakuu, kuna mzee kanipigia kutoka maeneo yetu vijijini ndanindani kule, anaomba ushauri wa kupewa idea ya kijana wake akajiendeleze kwa kipi kwa matokeo aliyopata kidato cha nne mwaka...
1 Reactions
23 Replies
39K Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na moja kwa moja nielekee kwenye uzi wangu. Nina kijana wa dada angu amemaliza kidato cha 4 2020 na akafaulu kama ifuatavyo. ENGLESH. C GEOGRAPHY .C...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Mimi ni kijana wa miaka 28, nina wadogo zangu wawili wa kike. Mmoja anasoma China medicine na huyo wa pili anasoma uchumi university of Dar es salaam. Maisha yetu yote tumelelewa na single mom...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini NECTA hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita hadi leo. Tunaelekea mwezi wa tatu Tena na hakuna taarifa yoyote juu ya mtihani. Na kawaida necta hutua ratiba toka mwezi wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu. Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Salaam!! Napenda kupongeza zoezi la kuwashirikisha wadau mbalimbali katika uchangiaji wa madawati kwa wanafunzi. Hapa kwetu nimependa ingawa inauma kwamba kila mwalimu anatakiwa achangie...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamii forum, Nilikuwa naomba msaada wa kupata fomu ya kujiunga na chuo cha taaluma ya wanyamapori Pasiansi Mwanza kwa mwaka 2020/2021 maana nikiingia kwenye website yao inaonekana kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
To all students and graduates; QN: Integrate with respect to x: 1/lnx (one over natural logarithm of x)
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Wadau naomba mwenye kukifahamu vizuri hiki chuo anisaidie coz nahitaji kujiunga ila nahitaji nifaham vitu vichache kabla ya kujiunga, kwanza nilikua naomba fahamu Teaching Method yaan lecture...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna umuhimu wa kuwekeza zaidi katika elimu ya awali. Wana saikolojia wanasema umri huu ndiyo umri wa ku ‘make or break a child’ yaani mtoto akikosa muongozo, mapenzi na malezi katika umri huu ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom