Habari
Jamani naombeni mniambie jamani ninaweza kusomea makeup kwa miezi 3? Nikawa makeup artist?
Na je nitapataje wateja kama sina saluni?
Na je makeup inalipa kwa maisha ya sasahivi???
Nilinunua kifurushi cha mwezi voda kwa bahati nzuri kuna dakika na data zimebaki na muda wa mwisho wa matumizi ni kesho
Je kuna namna naweza kuokoa hilo salio?
Schools are non business organizations.But it is surprising that in Tanzania they have become business organizations.They have become profit oriented more than meeting the community goals.
This...
Bachelor degree with Honours should be awarded only to a candidate who completes studies within the prescribed period of the programme at second class level and above and without supplementing any...
Wana jf msaada wenu jaman.Natafuta chuo cha kusoma katika fan ya autoelectrical na hasa wawe wanafundisha huu mfumo mpya wa electronics na ikiwezekana kama wanafundisha na jinsi ya kutumia...
Hivi mtu mwenye four ya 26 alafu ana hisC geogC engC kiswC civD biosF alf math hakufany physics hakufany na kemia ila alijisajiri vipi anaweza kwenda advance?
Na je cheti chake watamuandikia vipi...
Wanabodi,
Kama ilivyo ada ya maendeleo ya tecnolojia ya habari na mawasiliano yaani TEHAMA.
Kuna kijana kaamua tu kusumbua watu huko Arusha,ame hack website ya chuo kikuu cha Tumaini Makumira...
Salam,
Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar.
Nitashukuru kwa msaada
Niliapply chuo mwaka Jana nikachaguliwa zaidi ya chuo kimoja ,Ila sikufanikiwa kwenda na pia siku confirm vyuo vyote viwili . Je? Naweza kuapply Tena mwaka huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.