Mdogo wangu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu amepata Kiswahili B English C Geography D History D Biology D Geography D Biology D Hesabu D he ataenda kidato cha tano?
Habari wakuu.
Naombeni Mwenye kujua kitabu kizuri kinachohusu Electrical Installation activities na Electrical Maintenance na Shughuli zote za Electrical eg.Calibration maeneo ya kiwandani au...
Hivi kuna mtu yu na mawazo kama yangu?
Tunahitaji nchi ya viwanda, kujiajiri na ubunifu na ujasiriamali
Nadhani somo la ujasiriamali na utengenezaji wa bidhaa vitu na mitambo ndio lingetiliwa...
Mwenye ufahamu anisaidie kujua unverified increase account in Transit ni nini na ina athari gani kwa Financial statement?.
Naomba mnisaidie maana nimebananishwa na mhasibu anajibu querry za TRA.
1.Soko la hisa ni nini?
2.Bidhaa za ndani ya soko la hisa..
3.Hisa (shares) ni nini? Unapataje faida katika hisa..
4.Hatifungani ni nini? Unapateje faida katika hatifungani..
5.Umuhimu wa soko la...
Kwanza naomba nitangulize samahan kama ntakua nmetoka nje ya jukwaa husika,ila pia ntaomba msamaha wenu uambatane na maelekezo kuwa napaswa kwenda jukwaa lipi.
Mimi ni fundi kuchomea (arc...
Wakuu Habari,
Kama kuna mtu ambaye amewahi kusoma college hii inayotoa Kozi zake kwa mfumo wa Online,Naomba atusaidie juu ya eligibility yake na equivalency ya certificates zake kwa vigezo vya...
Wadau,
Kuna wanafunzi wengi wamalizapo form six au diploma huamua kwenda chuo kikuu kusoma kozi ambazo hawazifahamu vyema. Baadae mtu anakuja kugundua kuwa alifanya uchaguzi mbovu baada ya...
Once you graduate from college and land a job, your next immediate concern is how to succeed in your career. Because the world has become so competitive, doing well in your job and moving forward...
Kwa mara ya kwanza kabisa naingia jukwaa hili la elimu nimepitia michango michache nami nina jambo naona ni muhimu pia kwa lengo la kuboresha elimu yetu
Shule chache za Sekondari zimekuwa na...
Wakuu habari,
Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo. Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka...
Wanabodi, Mengi yameongelewa kuhusu ufaulu wa safari hii wa ST Francis secondary yaani nusu ya darasa kupata division one za point 7.Point saba kwa kidato cha nne ndio kiwango kikubwa cha ufaulu...
Habari wataalam, kuna ndugu hapa ameomba kupata information kutoka kwa wadau..ni hivi jamaa aliharibu matokeo ya bachelor hayakua mazuri (GPA) lower second.
Kwani hakua serious na shule wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.