Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wana JF natumai mko salama kabisa. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kujua mchango wa wataalam wetu juu ya janga la corona ama covid19? Wakati mataifa mbali mbali yakihangaika kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Please see the attachment below
2 Reactions
2 Replies
799 Views
Msaada kwa hayo maswali
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana hali ya maisha inavyokwenda nimejikuta nataka kufanya kazi ya ualimu nifundishe Angalau tuition au wanafunzi wa shule ila ningependa kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia kama mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mdau wa Elimu, napendekeza Sana tuweze kubadili mfumo mzima wa Elimu kwa kuwa pengine inaweza kutokuwa na faida ya kujinasua na wimbi la umasikini. Miaka Michache ijayo tutakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Kumekuwa na wimbi la kuchapisha mitihani maeneo ya mijini kwa siku za hivi karibuni nimeona video imesambaa kwenye mitandao kuwa sasa ni marufuku kununua mitihani hiyo wasiwasi wangu biashara hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza ninaomba MSAADA wa kitabu tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye nacho in soft copy. Mwandishi ni Mwl. Ambrose Odhiambo wa Bagamoyo.
0 Reactions
4 Replies
24K Views
Habari za asubuhi, naenda straight to the point Niko mwaka wa mwisho nachukua Multimedia Technology and Animation. Nilikuwa naomba kupata idea nzuri ambayo inaweza ikawa tatizo katika jamii yetu...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Given a set X = {a,b,c}, then find all non-trivial topologies on X.
1 Reactions
7 Replies
791 Views
UTANGULIZI Kuanzia wiki ya tar 4 mpaka tar 12,mwezi wa tisa zilikuwa wiki muhimu sana kwa wahitim wote kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu hapa Tanzania, kwani ni wiki ambazo wengi wetu...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Ordinary Diploma in Computer Science VS Ordinary Diploma in Computing , Infomation Communication Technology. Ni kozi ambazo zinatolewa na chuo Cha Jordan University hapa Morogoro kwa upande wa...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Habarini za muda huu wakuu. Nilikuwa nauliza.. kama mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu (HESLB) nikiamua kusitisha masomo chuoni kwa mwaka husika, halafu nikataka kuomba tena kwa mwaka unaofuata...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ni kweli hii au ni usanii tu? Maana majina ya mawaziri na wabunge wenye vyeti vya bandia yalikabidhiwa kwa spika na yeye akadai kukabidhi majina hayo polisi lakini hadi hii leo hatujasikia...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada mimi ni muhitimu wa kidato Cha nne kwenye selform yangu nilijaza advance ndo chaguo la kwanza lakini Kwa Sasa nimebadili maamuzi nahitaji kwenda health college nikibadili Tahasusi...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Mwanafunzi mtanzania Felister Rushubiza, ameibuka kidedea kwa kuongoza kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari yaani 2018 Grade 12 Ordinary Level Top Ten, yaliyotolewa nchini...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Nimemaliza degree yangu ya kwanza mwaka huu mwanzoni ktk chuo kikuu huria tanzania na nilisoma bachelor of social work na nilifaulu kwa GPA ya 4.3, sasa ninaomba ushauri nisome faculty ipi kwenye...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom