Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna maprofesa na madaktari kibao katika kila sekta.Je Ni Mambo gani yamegunduliwa na na Wasomi wa hapa Bongo? Uzi tayari
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Hbari za jioni, Naomba aliye na andiko mradi wowote unaohusu shule naomba anisaidie nina shida nalo sana !! Nataka kutumia kama fremu work niandae kazi mradi ya shule, natanguliza shukrani zangu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana Jamii forum! Kuna dogo Amemaliza Form Four na matokeo yake sio ya kuridhisha kwakweli amepata Division 4 ya Point 29 ambayo ni KISW - C ENG - D GEO - D HIST - D CIV - D ENG LIT - F...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Jf, Nina kijana wangu kahitimu elimu ya secondary mwaka 2020 kwa ufaulu ufuatao; Physics-D B/Mathematics-D Civics-C Chemistry-C Geography-C History-C Biology-B Kiswahili-B English-B Div-...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Baada ya kutokea mistake ndogo hatimaye nimefukuzwa shule, msaada wa mawazo ushauri, ajira yeyote ntafanya kwasabu sina mtaji wa kujiajiri. Thanks
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Wadau salama? Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani.
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana jamii forums Kuna mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana na amepata alama zifuatazo GEOGRAPHY D BIOLOGY F ENGLISH D MATHS F CIVICS...
1 Reactions
8 Replies
956 Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo. Dk Mwinyi amebainisha...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili! Naomba heading ya sred ihusike! Nimekua nikipata changamoto ya jinsi gani yakumuhakikishia mwajiri mtarajiwa juu ya kigezo cha kitaaluma cha stashahada ya juu...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Draft a simple contract for sale of 50 computers worth of 50 million tzs,between PLANET CONNECTION CO LTD as Seller and CITY STAYLEY GROUP as a buyer payment will be by cash,the contract is on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninataaluma ya Ualimu,mpango wangu ni kufungua tuition centre,kipindi nasubiri Ajira Serikalini (Allah akijalia). Ni vigezo vipi vinahitajika,hatua zipi nifuate? Kuna kodi? Wenye uelewa au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kusoma hakuishi kabisa yaani. Wataalam wa Accounts nisaidieni haka kaswali, wakuu. "Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants"
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Leo Tanzania tufanyaje juu ya wasomi wetu wanao hitimu kila mwaka vyuo mbalimbali??? Kila mwaka huku mtaani kwetu tumekuwa tukipokea wasomi mbalimbali tulio somesha kwa gharama nyingi sisi wazazi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za asbh, nauliza kati ya kozi 3 hapo juu, ni ipi ambayo ipo more marketable zaid kwa ngazi ya bachelor?
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Eliasi Kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:- ""This book contain embedded holograms in some pages...
7 Reactions
35 Replies
17K Views
Habari zenu jamani, Nauliza ukisoma degree ya public administration. Unaweza fanya kazi gani kwa hapa Tanzania? Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ipi Kati ya hizi combination mtu akipiga One jamii inamuangalia tofauti? Tuchukulie wote wana one ya tano (1.5) Nani ataonekana zaidi ya wenzie? 1 - PCM 2 - PGM 3 - PCB
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom