Habarini wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwa muda mrefu sasa najaribu kufanya mawasiliano bila mafanikio kwani namba zao hazipokelewi na email address haijibiwi.
Kama kuna namna...
Mwenye uelewa kuhusu hatua za kubadili jina na nini kinatakiwa ili liweze kubadilika anipe mwongozo maana ni mhitimu wa VETA vyeti vingine vinasoma PASCHAL ila cheti cha VETA ni PASCAL
Msaada...
Nawezaje kuyapata hayo mapepa tafadhali. Mwenye namna ya kujua kupata mapema anipe connection kwa namna yoyote ili lengo litimie.
Location; Dar es Salaam.
Kwa maongezi zaidi PM ihusike
wanajukwaa la elimu kwa JF naomba msaada napataje form ya maombi ya chuo cha DIT(Dar es salaam Institute of Technology).
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana Jf naomba kuuliza
Ivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine anaweza chukua degree ya anaesthesia kama ana specialized au itabidi ashuke chini tna upya kwa ngazi ya diploma??
Habari!
Naomba kifahamishwa majina, sehemu na kiwango cha ada kwa shule za msingi zinazofuata mtaala wa kimataifa (international Schools) zenye ada ya kawaida. Sihitaji hizi IST n.k
Shukran!
Salaam wanajukwaa , naitwa omary mkazi wa iringa, ninaweza kuandika mambo yanayohusu fasihi(ushairi, riwaya,tamthiliya na hadithi fupi), sijawahi kufanikiwa kuandika kitabu lakini naishia...
Inafahamika kwa ngazi za chini za elimu mathalani elimu ya sekondari mwanafunzi akiona ana mapungufu sehemu anaomba kukariri darasa na anakubaliwa bila tatizo lolote,je jambo hili kwa ngazi ya...
Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary.
A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills...
Nilitembelea Center moja katika zile zinazotoa elimu ya Computer Nikakuta mfumo tofauti kidogo na mifumo tuliyozoea. Wao wanatoa Diploma kwa mwaka mmoja, Advanced Diploma kwa mwaka mmoja zinaitwa...
Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa...
Habari zenu wakuu.
Kwanza natoa pongezi kwa uwepo wa jukwaa hili kwani limekuwa msaada mkubwa kwa watu wengi especially kimawazo.
Nahitaji Sana kutiwa moyo kipindi hiki kigumu kwani matokeo...
Mambo n vp wadau wa "JF"
Thumuni la uzi ni kuomba msaada toka kwenu kwa mwl yeyote mwenye scheme of work form 3 naomba anisaidie
Natanguliza shukrani [emoji120]
Habari za muda huu waungwana.
Samahanini kwa usumbufu mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka 2007 na kupata division four ya point 27. Na matokeo yangu ni kama yafuatayo:
B/MATHEMATICS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.