KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapa👇👇👇👇👇👇👇👇.
Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA...
Habari wanajamvi,
Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kufanya ili kupata uthibitisho wa vyeti vilivyopotea unaokubalika au kutengenezewa vingine.Nimepoteza vyeti vya chuo
Habari ya asubuhi wandugu
Naomba mwenye hiyo syllabus ya pre & primary syllabus in Tanzania pamoja na teaching and learning materials kwenye soft copy anisaidie
Asanteni
Habar za jioni!
Nina mtoto anasoma form six shule moja huko mkoani ya serikali, hivi tunavyoongea kafukuzwa shule kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Nimejaribu kuongea na mkuu wa shule kumuomba...
Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je...
Msaada nina mdogo anasoma Bachelor of Nursing ila anahitaji kuhamia Md.
Je, inawezekana kuhamia baada ya semister ya kwanza au anaweza kuhamia MD akiwa anaingia mwaka wa pili.
EDIT: THE ORIGINAL TITLE WAS, Private Candidate Primary School Tanzania. The thread title was stealthily edited. Shame on the mod who cannot formulate his/her own ideas and stand by them. If you...
Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo...
Wadau angalieni matokeo ya rufaa kidato cha sita 2020. Hakuna liyeweza kubdili grade ya mwanzo.
Swali la haja: Kama kuna mwenye kujua hizi rufaa zinakuwa handled vipi i.e aliyeomba rufaa...
Niaje wadau, nawatafuta waliomaliza form 4 mwaka 2012 pale St. Mathews kwa boss Mutembei mwaka 2012. Asee wadau nimewamiss sana, the likes of Mr. Kaskazi, Mutembei, Mr Bokole, Muhikwa, tule...
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Habari wadau!
Katika kusoma au kusomesha usije kuruhusu au kusomesha mwanao course ya ualimu. Hii kozi ni ya watu ambao hawajui kesho yao. Mimi Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu. Nimeamua...
Wanafunzi wengi ambao walipaswa wapite katika mfumo wa kawaida wa masomo ya sekondari ambao walipaswa wawe darasani na kupata elimu nzuri ihususuyo mazoezi na mitihani ya mara kwa mara, sasa...
Wakati matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa Januari 15 mwaka huu yakionyesha ufaulu kupanda kwa asilimia 5.19, zaidi ya nusu ya waliofanya mtihani huo wamepata daraja la nne.
Kulingana na...
MAKOSA 3 YA MAISHA YANGU
-na Chetan Bhagat
MUHTASARI
Makosa 3 ya Maisha Yangu yanazunguka Govind, Omi, na Ishaan. Ingawa wana haiba tofauti, mapenzi yao kwa kriketi huwaunganisha. Wanaamua...
Hellow..
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C
Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani?
Leo mida fulani hivi nilimuuliza dogo langu ambae amepiga pepa la form mwaka jana 2020 anipe matokeo yake nikiwa na shauku labda dogo amepiga vizuri pepa.
Dogo ameniambia amepata Div 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.