Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Wana jukwaa la elimu, je Patandi teachers college inatoa diploma ya special education; na kama inatoa naombeni maelezo jinsi ya kufanya application.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Shule nyingi za serikali hata zile za private ufaulu katika Hili some ni mdogo Sanaa. Tatizo ni nini? Au necta wana kaza pepa ili wanaofaulu kwenda kidato Cha tano wawe wa Chache kwa kuwa Hili...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeona Referred ana Repeat, zinamaanisha nini?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasikia kuna umoja wa maendeleo ya kata Bwanjai, hata juzi mlifanya mkutano (BWANJAI DAY) wa kuona namna ya kusaidia maendeleo ya Bwanjai. Nadhani pa kuanzia ni hapa shuleni! Diwani Phocus...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya ndo matokeo halisi ya shule zilizozagaa mitandaoni kuwa zimekuwa za mwisho katika mitihani ya kidato cha nne 2020. 1. S 3110 Chingungwe ina div I 1, II 1, III 8, IV 27, 0 2. Na imeshika...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauliza ni vyuo vipi ni vizuri kwa kusoma diploma ya udaktari(clinical medicine)?
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Ndugu zangu wenye ufahamu kuhusu kurudia mtihani kidato cha nne gharama za kituo cha mtihani kwa shule za serikali ni kiasi gani.
0 Reactions
11 Replies
18K Views
Nataka masters yangu nikachukulie nje Uingereza ,naomba kujuzwa niandae kiasi gani kwa gharama za malazi, chakula, mavazi na ada. Naomba kujuzwa
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba kufaham nimepata D kiswahili D civics D english.From st.Mary. Je ni Chuo kipi anaweza aka post??
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Mungu ni mwema mdogo wangu amefaulu kwa kupata daraja la kwanza na alama 16 (1 point 6). Physics na Mathematics amepata D. Ila Biology B, Chemistry B na Geography C. Lengo lake lilikuwa ni kusoma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.abide..............by 2.absorbed....... In 3.abstain ......from 4.Accomplice......with 5.accused...... (Sb)of(sth) 6.accustomed..... To 7.addicted........ To 8.adhere........ To...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama nilivyoelezea hapo wakuu, Kunae ndugu yangu mmoja anahitaji kwenda diploma ila natamani aende kama government sponsored student ili kupunguza gharama. Kwa yeyote mwenye kufahamu hili na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa Shikamoni, vijana wenzangu wa kike na wa kiume habari zenu? Natumaini sisi sote tunaendelea vizuri na shughuri zetu za kila siku na M/mungu yu pamoja nasi tumeuona mwaka 2021 but si kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za leo wadau Great Thinkers, Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Imezoeleka shule za sekondari kuwa Kuna utitiri wa vitabu vya fasihi kwa wastani havipungui 12 nje ya vitabu vya masomo mengine ya kawaidaz ambavyo kimsingi mchango wake ni mdogo Sana kwenye...
1 Reactions
1 Replies
828 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natanguliza salamu. Ni kwamba kuna mtoto wa ndugu yangu kutokana na changamoto fulani fulani anazopitia alitaka kuhama shule aliyoripoti mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Kwa hiyo, shule zinafunguliwa Jumatatu (11 Jan 2020) halafu Jumanne mapumziko tena ya sikukuu (Mapinduzi Day)? Kwanini...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom