Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila...
School Results Management Spreadsheet Application!
Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa...
Ni muda muafaka kwa Waajiri na Makampuni binafsi kutoa mrejesho kwa Wanafunzi wa Vyuo gani Wanafanya Vizuri katika Maeneo yao ya kazi. Pia tunaomba watoe mrejesho ni maeneo gani ambayo yana...
Habari wakuu hivi kukaa nje ya chuo yaani kupanga na kukaa hostels ni kipi nafuu?
Naulizia hili kwa wale wa vyuo vya udsm na ardhi
Jee ni maeneo gani kwa dar hapa wanafunzi wa vyuo vya ardhi na...
Habari za majukumu wana JF education?
Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu.
Humu ndani...
Wako wapi vijana waliojichukulia ujiko wa zawadi na headlines magazetini na vyombo vya habari wako wapi kaka zetu na dada zetu waliotesa kwa ufaulu wa kutisha?
Wako wapi jamani? Tusaidiane.
Je...
Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye.
Je, HGL yangu ya div 2 inatosha?
Au kuna somo inabidi niyareseat?
Na kama kwa HGL...
Habari jamani,
Mimi nina shida ya msaada wa nini nifanye katika hili. Mimi cheti changu cha kuhitimu elimu yangu ya sekondari(form for certificate) kiliungua moto mara baada ya nyumba yetu kupata...
Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi.
Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na...
Habari wadau,
Ningependa kujifunza kitu/au kujua kutoka kwenu. Kuna kazi nyingi hasa za serekali zinataka mtu akisomea nje ya nchi wawe awamesajiliwa.
Ninacho taka kujua:
Mimi nimesomea...
Nimepitia baadhi ya prospectus mbalimbali za baadhi ya vyuo vyetu na nimegundua shida kidogo, ufundishwaji wa geography bado umebaki kuwa wa zamani usioendana na maendeleo ya sayansi na...
Kuna mtu anataka nimtumie clip kama document kwa njia ya WhatsApp nafanyaje?[emoji1621][emoji1541]
" Naomba utanitumia kama document ili kutopoteza quality".
Habari ya jioni.
Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition.
*Muda ni wiki mbili tu.
*Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu.
Topics zifuatazo...
Jamani kwa wale wa shamba la mabali sua cheki.........................:A S-confused1:
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTUREP.O.BOX 3000 CHUO KIKUU MOROGORO TANZANIA
TELEPHONES: 2603511/4...
Happy new year wana JF! Hope mko poa.
Ninatafuta kituo cha kurisiti mtihani wa kidato cha nne chenye gharama nafuu nimejaribu kufatilia kwenye hivi vituo vyenye majina makubwa hapa Dar kama...
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.