Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
MWAMBIE MDOGO WAKO Mkumbushe ndugu au rafiki yako kuwa maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza. Hata yule alie tokea Mbeya vijijini atasema kwao Jijini Mwanza... 1. Mwambie...
12 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini za mihangaiko ndugu wana jamvi. Langu ni swali tu, ningependa kujua kozi (takribani 3) zeye tija na uhitaji mkubwa katika soko la ajira yaani kuajiriwa ama kujiajiri kwa sasa kutoka...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Tafadhali kwanza naomba mods mtusaidie kuunganisha threads zote zinazohusu SUA katika thread moja Pili nyinyi mpo jirani sana na IT wengine kama was SUA,hebu jaribuni kuwauliza na kusaidia vijana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kozi za bure kutoka Open Univesity na unapewa cheti cha kushiriki mafunzo Fungua account ni bure Pendeni kujisomea kwa ajili ya CPD- Carrier Professional Development, hivi vyeti kama unatafuta...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za weekend wapendwa katika bwana. Naomba nianze na historia yangu kiufupi ili uweze kunisaidia ushauri. Nina umli wa takribani miaka 24 kwa sasa. Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
NB je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno bofya hapa http://signup.wazzub.info/?lrRef=d56aa5e9 hafu fuata maelekezo mpaka mwisho na...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari, wana jukwaaEs. Naamini JF imekuwa nyenzo muhimu kwa kupashana habari na kusaidiana mawazo kwa takribani miaka 14 sasa. Uzi huu napenda uwape nafasi basi wale waliowahi kuomba ushauri ama...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Habari Nina diploma ya ualimu wa masomo ya chemistry na biology nilie ajiriwa na nilipata GPA 4.9 upper first class je Nina weza kusoma masters degree na ni chuo gan hapa Tanzania kinaweza...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Inasikitisha Sana kwamba vijana wetu wanajitahidi kimasomo katika mazingira magumu Sana. Wakati mwingine fedha za mikopo ya kujikimu inachelewa, na hata wengine hawapati kabisa. Licha ya magumu...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Naona wanafunzi wengi wa hapa nchini kwetu hasa wanaosoma PCB wanatamani kusoma MD tu... Kwani haiwezekani mtu kusoma PCB na asome course nyingine iliyonzuri zaidi tofauti na hiyo iliyozoeleka kwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam alaykum, Ningependa kujuzwa juu ya ufaulu unao hitajika ili kujiunga na shule Mzumbe A-Level Ni division one points ngapi hadi ngapi?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu zangu mnangoja matokeo ya rufaa vipi uko akaunti zenu zinaujumbe UPI adi mda huu mana Siku imeisha hii sijaona mrejesho wowote kwa upande wa akaunti yangu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hivi mtu mwenye shahada kama hii anaweza kufanya kazi gani mbali na suala la ualimu.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Error 404 [Post Deleted]
2 Reactions
35 Replies
3K Views
EXAMINATION TECHNIQUES GENERAL PRECAUTIONS How to get high Score on your exams Sir Jr Geography and Biology tutor|| 0784214792 1. Ensure that your handwriting is good and if not, start...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini wanaJF, Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari ya mchana! Sehemu gani wanahusika na mitihanni ya research ethics kwa hapa Tanzania, pia niingependa kujua gharama na jinsi ya kujisajili.
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Habari wakuu, Nauliza baada ya TCU kufunga dirisha tarehe 14th December 2020 kwa waombaji wa kuhama chuo Je, majibu huchukua muda gani? Je, majibu unayapata wapi? Ndugu yangu ananisumbua hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu wa Jf, habarini za majukum, Naomben ushaur hapa, nategemea kumaliza stashahada ya Medical Lab hapo mwakan kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, ila hapa nina mgogolo wa nafsi. Kuna wakati naona...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom