Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kunajamaa yangu muajiliwa amemaliza diploma ya computer science ameniomba ushauri ya kuwa asomee course gani degree ambayo itabaki ndani ya ICT lakini isiwe ngumu sana ushauri course gani ambayo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari! Kwa wale wanaotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi naweza kuwasaidia hatua zote, iwe Ulaya, Asia au Marekani. Pia tunatoa ushauri wa vyuo bora, gharama na tunakusaidia kila hatua. Tunakuwa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa wasomao PCB au utabibu. Wapo wengine hawajui waje kuwa mabingwa wa nini: kasomee masikio! 89.7% ya vijana siku hizi wanavaa "earphone" spika za masikioni kutwa kuchwao. Japo wao ni vijana...
2 Reactions
2 Replies
727 Views
Wakuu habari zenu, kuna jambo naomba mnieleweshe. TCU wameruhusu diploma holders kufanya maombi ya pamoja kupitia CAS, na muda ni mchache sana. Sasa kuna wale diploma holders ambao tuli/waliapply...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habr wadau hv kuna uwezo wakuama shule ya private kwenda gorvement kwa level ya advance
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi kwa mwalimu wa ngazi ya cheti akitaka kujiendeleza Diploma. Je ni course gani ambazo ni nzuri kusoma? Ahsate
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Naomba kufahamishwa kozi za Computer including computer science na cyber security kwa CBG student A' level
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimekutana na vedeo na audio nyingi alizo zitoa huyu ndugu yetu Mtanzania. Ambae ameweza kusoma vitabu vingi na kuvichambua Kwa Kiswahili na kuturahisishia Sisi tusio soma na hata tusio jua Lugha...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Mimi ni mfanyakazi wa sekta binafsi, nina shahada ya kwanza ya usimamiz wa rasilimali watu kutoka chuo gwiji ktk mambo ya utawala na usimamizi MZUMBE UNIVERSITY (MU).Naweza kusoma masters ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu wakuu Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana. NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua ugumu na urahisi wa hizo combination: HKL na HGK, hasa zaidi geografia na English MSAADA
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Nimeandika barua ya transfer chuo na nmefata procedure zote za TCU lakin jina langu la waliochaguliwa na chuo husika halipo. Naomben msaada nini cha kufanya.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari jamani,.samahanini ninaomba kwa mwenye notes za physics,chemistry na mathematics anitumie ili nipate kujisomea maana hali ngumu alafu sina hata chanzo cha kupata maarifa ivyo naomba mwenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana Jf nahitaji msaada wa mawazo yenu kwa wale wazoefu wa hizo courses.. Nimechaguliwa Course ya Insurance and Risk management "IFM",, But Nina wazo la kubadili niende Accountancy. So kwa...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Je uchumi wa Canada ukoje kwa sasa? Kazi zikoje kwa professional? Gharama za kusoma vipi? Nilikuwa nataka kulinganisha na US maana najua Canada ni expensive zaidi
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Nakumbuka siku ya mwanzo nilipofika Tabora Boys sikujua kama ukitaka kwenda chooni lazima nguo uvulie nje kisha uingie chooni Nikazama na nguo zangu ebwana nilipotoka chooni nguo zote zinanuka...
4 Reactions
118 Replies
15K Views
Wakuu Hivi kwa Wale walio maliza darasa la saba kuanzia mwaka 2009 kurudi nyuma wanawezaje kuona matokeo yao huku mtandaoni??? Kama kuna link basi naomba iwekwe ili tuangalie Wengine hata...
1 Reactions
8 Replies
36K Views
Dodoma. Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa asilimia 91.1 kati ya wanafunzi 759,737 waliokuwa na sifa za kujiunga na kidato cha kwanza, wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom