Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu nataka kujiendeleza kwa ngazi ya PhD kati ya Open University, Mzumbe au UDOM nisaidien kujua ubora wa vyuo tajwa
2 Reactions
81 Replies
14K Views
Habari wadau wa elimu, kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemaliza form four 2010 nimesoma shule ya kata pia nina diploma yenye gpa ya 4.7 nimeomba mkopo kozi niliyochaguliwa degree ni business administration nimeambatanisha na vyeti vya vifo vya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwenye link ya vitabu vya English medium vizuri please naomba link
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA ili nijibanze kwenye kuhesabu pesa za madini, nipeni utaratibu, gharama zake ni sh ngapi na mtihani ni mwezi wa ngapi.
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Leo ndiyo tarehe 5 ,kama sijakosea. TCU calender ilionesha kuwa watafungua dirisha lá uhamisho kwa wanafunzi wa mwaka wa Kwanza, jé wamefungua tayari? Taratibu zipoje zá kufuata ili mwanafunzi...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Majina ya waliopangiwa shule kuanza kidato cha kwanza, bonyeza link apo chini. http://196.192.73.4/allocations/
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk. Faida I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri. Hasara I. inasababisha wizi wa mitihani ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wadau je, naweza chaguliwa bachelor chuo cha open? Je nisome diploma? Je. Niludie mtihani? Au nikasome foundation? P0385/0504 M 15 III G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' KISWAHILI...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau Habari? Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne. Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani...
1 Reactions
3 Replies
655 Views
Wadau Habari? Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne. Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema ndugu zangu?.Naomba msaada wa kujua ni kozi ipi ya ualimu ngazi ya Diploma inanifaa kwa matokeo yangu haya ya O LEVEL: DIVISION I point 14, Physics(B), Chemistry(A), Maths(B). A...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini. Naombeni mnipe tofauti ya Degree ya Bsc in COMPUTER SCIENCE inayofundishwa Udsm na UDOM.
1 Reactions
80 Replies
17K Views
Habarini za Leo wakuu, Namtafuta mtu anayesoma masters ya Uchumi UDSM. Kama yupo hapa ajitokeze
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, inajulikana hapa nchini pana Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Sita kwa wale wanaojiunga na Vyuo kwa masomo zaidi. Sasa naomba kufahamishwa ili mwanafunzi apate huo mkopo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimehitimu kidato cha nne 2018, Nilipata Division 4 ya 27, Kiswahili c, Gepgraphy F, English C, Biology D, commerce F, Book- keeping D, civics C, Maths F, History F. Naomba ushauri nikasome...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimepigiwa simu eti kamati inaomba nichangie pesa za simenti au matofali ili wafanikishe kujenga vyumba vya madarasa, mimi kama mdau wanahitaji mchango wangu. Kama mwana JF hata mmoja haja...
2 Reactions
5 Replies
898 Views
Kuna mtu anahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu ESAMI Je chuo kinamilikiwa na Serikali ya Tanzania kwa sasa kama mmiliki pekee? Vp kuhusu mishahara ya staff ni Sawa kama vyuo vingine, mfano UDSM...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimepata kozi UDOM Bcom in information and system management. Mwenye kuifahamu naomba anielezee uzuri wake na uzito wake.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom