Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu mtakumbuka miaka ile kuingia UDSM hata Kama una Division One ya point 3 Lazima ufanye na kufaulu Matriculation Exam. Tofauti na Zama hizi za Dot.com jitu linamaliza chuo hata kuandika...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama nlivoanza hapo juu nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM au chuo chochote. Ni kuhusu course yangu ya Bachelor of art in language nahitaji kufanya online registration na sielewi nfanye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Leo wakuu, Ni vitabu vipi vizuri wa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting). Au kama una vitabu vya hii combination nijuze hapahapa.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kama kuna anayejua hatma ya hawa vijana ambao Serikali iliwapangia kwenda kusoma Vyuo vya Ualimu level ya Diploma na baada ya miezi sita chuoni wakarudishwa nyumbani kwa kuambiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimeona tukumbushane madaraja (division) tulizopata tulivyomaliza Kidato cha Nne! Na je ulikuwa mzuri kwenye somo gani?
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Rufaa katika bodi ya mikopo inaanza lini na kuisha lini Dogo langu anataka kuapel
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Miaka tofauti tofauti yamekuwa yakitolewa maandiko mbali kuhusu lugha inayotakiwa itumike kwa ajili ya ufundishaji. Ambapo wengi wamekuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habar wakuu naomba kuuliza kozi ya human resouces ni nzur kwa kijana wa kiume coz naona kama ina wigo mpana sana mbelen hivo nipen maujanja.
2 Reactions
17 Replies
13K Views
Kwanza kabisa, nipende kumshukuru sana Mungu kwa pumzi hii alituma, Maana hatuilipii ila Tunaipata kwa Neema tu yake, Hakika anashahiri kupewa heshima na utukufu. Lakini kipekee nipende...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2. Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je Mzigu taaluma inashuka, ada inapanda tuwaeleweje??? ni kama sasa headteacher umeshindwa kusimamia walimu wako, unampotosha sana mmliki wa shule. Walimu wako hawafundishi, Kujumlisha tu maksi...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, nataka kurudia mitihani ya kidato cha sita May 2021 Je, ninaweza kufanya usajili au nimeshachelewa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Uliza chochote kuhusu chuo cha Afya mtwara nitakujibu
0 Reactions
121 Replies
38K Views
Title ya thread inajieleza. Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari Viongozi, Naomba kuuliza, barua ya kuappeal matokeo chuo kikuu inaandikwaje? Natanguliza shukrani za dhati.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau wa jukwaa la elimu. Ningependa kujua kwa mwenye uelewa. Na hii course ya youth Work Development and Commonwealth inatoa mtu gani katika jamii? Unakuwa nani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, mwenye uelewa na hili naomba ufafanuzi tafadhali. Hivi? kwa mwalimu aliyejiendeleza kitaaluma kutoka ngaz ya cheti hadi shahada ya ualimu, inamchukua muda gani ili abadilishiwe Daraja...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za wasaa huu wakuu natumaini mu wazima niende moja kwa moja katika mada. Wakuu hii elimu kwa Sasa tunaweza tukaiweka level gani na elimu ya sasa, maana wazee walioipata hii elimu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada tafadhari namna ya kusearch na kuinstal friquency za radio kwenye television ili niweze kusikiliza radio kwa kutumia satelite dish kupitia tv Natumia dekoda ya star times ushauri...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Ningependa niulize hivi uhamisho kwa mwanafunzi anayeenda kuanza kidato cha kwanza ingefaa nifanye mchakato kwa mda Gani je huu ndo mda wa kufuatilia wakati...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom