HJaiwezekani wanafunzi wakafeli mitihani yao kiwango hiki. Kuna kitu hakipo sawa either kwa vyuo na ufundishaji au utungaji wa mitihani NACTE.
Pitia vyuoni wanafunzi wamefeli sana na NACTE seems...
Ushauri tafadhali, nimepata udahili wa chuo kikuu fulani hapa nchini.
Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuhairisha kuripoti chuo hicho.
Nauliza endapo sitasitisha...
Wakuu habari naomba msaada kujua kama kuna ubalozi au shirika lolote linalotoa ufadhili kusomesha watu wasio na uwezo kimaisha kujilipia karo ni ubalozi gani wa nje ambao upo Tanzania unatoa...
Katika form ya Rufaa, kuna kipengele baada ya kujaza chuo inahitajika REGISTRATION NUMBER nafanyeje hapo maana chuo bado sijaenda.
Pia katika sababu kuna kipengele cha sababu ukichagua mbele tena...
Habari wakubwa,
Kuna paper naitafuta nisaidieni kuipata hii paper
CHINA'S INDUSTRIAL POLICY AND CORPORATE TECHNOLOGICAL INNOVATION
Does Industrial Policy Play an Important Role in Enterprise...
Habarini
Kuna rafiki yangu knishauri kuchukua hiyo coz sasa niliitaji kuifahamu vizuri kama inaweza kunisaidia hapo baadae hivyo basi mwenye uzoefu au ambaye anaifaham hii coz anishauri...
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali.
Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Wakuu heshima kwenu. Naombeni mawazo ya kuchagua topic nzuri ya kufanyia research kwenye kozi ya Human Resource. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Kwanza hongera sana, mimi nipo kaa ajili ya kukutia moyo tuu, kwa sababu najua umesemwa na kutishwa sana kuhusu mtaa.
Ni hivi, watakaoumia sana huku mtaani ni wale ambao walienda chuo kusoma...
jamani naombeni msaada wenu katika suala nzima la usajili wa shule-sekondari,hatua za awali nimemaliza na ikiwemo kupata barua rasmi ya kuendelea na ujenzi,lakin tatizo ni kwamba ujenzi umeisha...
Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.
Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao...
Nilimalz form mwaka jana na matokeo Yang yalikuw hivi wana jf wezangu
Physics-D
Mathematics-C
Chemistry-B
Biology-B
Civics-B
Kisw-B
English-C
Geography-C
History-C
Nilikuwa na point 17...
Naomba kufahamishwa wakuu, kwa continue student aliyepangiwa mkopo, inasemekana jina lake linapelekwa chuoni kwake, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
Wakuu heshima mbele, leo kuna kisa mtu kanisimulia nimebaki nashangaa. Alienda katika shule fulani binafsi kuchukua form kwa ajili ya kumuandikisha mtoto wake Nursery School.
Cha kushangaza...
Lengo la uzi huu ni kupeana elimu juu ya majanga ya moto na uokoaji.
Tupia chochote unachofahamu kuhusu njia za kukabiliana na majanga ya moto.
Vifaa vinavyotumika na jinsi ya kuvitumia...
Habari wadau....
yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza
anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied...
Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu,
Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu...
Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya.
Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.