Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani naomba kujua kuhusu diploma levels hizi wanaita NTA 4,5 na 6 naelewa 4 ni basic technician certificates 5 ni technician certificate na 6 ni ordinary diploma sasa swali langu je maximum GPA...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani mtu anisaidie namna ya kupata kitabu cha Death Factory by Bernard Mapalala nimekitafuta sana sijakipata. Hata pdf itakuwa poa
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Na mshukuru mungu mimi ni mzima wa afya. Nimekuja hapa ndugu zangu naombeni msaada wenu wa mawazo baada ya kupita level 4 semester 2 kwa GPA ndogo(GPA 3) mtihani wa...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, Nataka niisome hiyo Aws kwa ajili ya cloud storage...Natafuta hicho cheti cha mambo ya storage with amazon. Nataka kujua, Is it worth it in 2020 in Tz? Kwa mlio makazini storage mnafanyia...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Nauliza hvi walimu wa degree hawatakiw kupewa kazi na serikali? Je walimu wa sanaa hawatakiw kupewa kazi Kuna watu wanajitolea shule za serikal hawapew kazi Kwann msiajiri degree kw mshahar...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
KWENU WALIMU WAPYA: MSISAHAU KUTUMIA P TWO NA CON...🤔 Naandika Mwl wa akiba 📌Itoshe kusema kuwa wale wote ambao mmebahatika kupata ajira mpya za ualimu tambueni kwamba mmeaminiwa na nyie...
2 Reactions
0 Replies
899 Views
Kulingana na matangazo ya ajira serikalini yanavyotoka na wanavyoajiri, sijawahi kuona wakiwazungumzia hawa wahitimu wa shahada ya elimu ya awali. Huenda Joyce Ndalichako aliiruhusu hii course...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Ipo hivi: unajua mtu mwaka wa kwanza na wapili ulipata allocation yako vizuri, sasa mwaka wa tatu huu unajiandaa kwenda chuo bado siku tatu unakuta ada imepunguzwa na hela za stationery nazo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
wakuu salaam nyingi sana kwenu. Mimi naenda kwenye mada, mwaka jana niliacha chuo baada ya kukosa mkopo ikabidi nirudi home kujipanga upya na nikaaply mkopo mwaka huu huku nikiambatanisha death...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Haya wale tuliochaguliwa chuo cha ardhi mwaka 2019-20 tukutane hapa...... Are you ready??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja wakuu. Kijana asomee kitu gani katika hivi hapa chini[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app Nb: orodha ya vitu vyote hapo juu ni juu ya Applied physics...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za masiku mengi ndugu zangu, naombeni aliyefanya kazi kwenye iyo industry ya INFORMATION SYSTEM AUDIT na ambaye amekuwa certified na iyo industry aje PM anisaidie kimawazo/ ki ushauri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika shule nilizopitia nimejifunza kidogo,najua vitu vidogo vidogo kama Capacitors,Diode, Transistor, Rectifier, Transformer etc. Lakini kama mnavojua ni elimu tu ya kujibia mtihani. Ila...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu, Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020). Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomb msaada wa kujua mtu akisoma course ya international relations and diplomacy anapata faida ganii na ni kazi zipi ambazo anawez pata kwa Tanzania yetu ya sas iwe ni serikalini ama NGO's??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya...
21 Reactions
102 Replies
13K Views
Husika na kichwa hapo juu. Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB...
5 Reactions
53 Replies
11K Views
Katika pita pita yangu ya kwenye mitandao nimekutana na jina la dada wa baba mdogo na kiasli jina la ukoo wetu sijapata kulisikia sehemu yoyote zaidi ya ukoo wetu hilo sio la kutania namaanisha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko? Naomba kuelimishwa kwa nini unadhani ndio au siyo.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Je kunautofauti gani kati ya bachelor of science with education (chemistry and biology) na bachelor of education in science ( chemistry and biology) katika upande wa job opportunities na upana...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Back
Top Bottom