Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau mwakan nataka nisome Bachelor ya MASS COMMUNICATION je itanisaidiaje katika soko la ajira ?na nitafanya kaz kama nani naomba mnipe mwanga jamani
1 Reactions
19 Replies
16K Views
Ningependa kujua kwa mtu aliyemaliza certificate (mfano: Certificate in Information and Communication Technology) chuo kimoja na anataka kua-apply Diploma (NTA 5 and 6) chuo kingine anatakiwa...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Wakabwa poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanafunz wenzangu tuliobahatka kuchaguliwa katka chuo tajwa hapo juu,njoo hapa tujadil mambo mbali mbali yanayohusu maisha ya chuo! Karibun sana wadau
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The pathway of glycolysis as it is known today took almost 100 years to fully discover . The combined results of many smaller experiments were required in order to understand the pathway as a...
1 Reactions
4 Replies
572 Views
Wanangu wa Electrical Engineering hasa Electrical installation naombeni jina la hiki kitabu nidownload au hata kama una link unaweza share nashida nacho sana.Ni cha maswali na majibu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri yao wamepelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru)...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa. Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo. Basic anatomy na clinical anatomy...
0 Reactions
7 Replies
915 Views
Wana JF, Naomba kujua kutoka lwa mtu anayejua, km kuna usafiri wa bus wa moja kwa moja kutoka Dodoma mpk Bagamoyo au namna gani ya kufika Bagamoyo kwa kutokea Dodoma. Aidha nauli ni sh ngapi...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Ndugu wana jamii wenzangu hasa wale wanaosoma open university degree ya ualimu naomba mnijuze ada kwa mwaka mmoja ni kiasi gani kwani nataka kuomba nafasi.Naomba msaada wa taarifa sahihi ndugu zangu.
0 Reactions
19 Replies
18K Views
Natafuta English Course Nzuri nje ya hizi British Council au Ras Simba gharama ziwe za kawaida
1 Reactions
1 Replies
903 Views
Leo vijana wetu wa kidato cha Nne wamefanya mtihani wao wa tatu kwa mujibu wa ratiba yao ya mitihani. Asubuhi saa 2 asubuhi vijana wote Tanzania walianza kupambana kupata tiketi ya ufaulu wa somo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mim nilichaguliwa na TAMISEMI mwaka 2019 kwenda chuo cha utabibu maswa, lakini sku verify kua ntafika chuoni apo kutokana na kutokua na ufahamu na simu yenye kushika internet. Kama na ww umekutana...
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Habari ya mchana wadau wa JF. Kuna kitu nilikuwa najiuliza sana, nikaona niwashirikishe na nyie. Je, serikali ya awamu ya 6 chini ya Mh. Magufuli itaendelea kutoa elimu bure kwa ngazi ya elimu...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Naomba anejua faida za kusoma course hii pia kazi anazoweza pata mtu akisoma course hii kwa ngazi ya degree.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi inakuaje ukalipa ada chuo halafu badae batch 3 ikaja unakuta umepata mkopo. Je, watanirudishia ada? Au nisubiri hadi batch 3 itoke Chuo chenyewe ni UDSM
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Naamini sio mimi peke ya gu niliyekumbana na suala la kusomea jambo nisilokuwa na ndoto nalo. Nilikuja kushtuka zaidi wakati wa kutafuta sehemu za kufanyia field. Kuna wenzangu wengi sana ambao...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Inawezekana hivi sasa ni miaka kadhaa uko nyumbani au mtaani au pengine mwaka huu ulitamani kujiendeleza kielimu kwa ngazi yeyote, Lakini umekumbwa na changamoto ambazo zimepelekea...
4 Reactions
4 Replies
850 Views
Back
Top Bottom