Ni hivi majuzi tu matokeo ya Darasa la Saba yametoka ya Shule mbalimbali nchini. Kuna baadhi ya Shule zimefutiwa matokeo kutokana na uzembe na ulaji rushwa wa wasimamizi, tuseme wanafunzi...
Wakuu nataka kumuhamisha mdogo angu shule, matokeo yametoka jana ya Darasa la saba huyu dogo amefaulu lakini alisoma mkoa wa Mbeya kwasasa nataka nimuhamishe asome hapa DSM ili iwe rahisi kwangu...
Jumla ya Wanafunzi 490,103 wanatarajiwa kufanya mtihani wa Kidato cha Nne leo Novemba 23 ambapo wavulana ni 213,553 sawa na asilimia 47 huku wasichana wakiwa ni 234,103 sawa na asilimia 52.3...
NACTE badilishen mifumo yenu ya matokeo elimu sio vita mkiwaiga TCU sio vibaya. Yaani diploma ya AFYA kama unachukua degree ukikaa vibaya utasoma Ata kwa miaka 7.. Ukitoka apo kwnye msoto uo uanze...
MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU
Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo...
Habarini mihangaiko wana jukwaa,
Nawaleteeeni habari cha kushangaza kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wao wamekuja na mpya kufanya mitihani kwa kuongea? Tunataka tuzalishe wataalamu wa...
Ni combination gani rahisi ambayo mtu anaweza akaisoma kwa wale wanao re-seat mtihani wa form six. Ambayo mtu anaweza akajisomea mwenyewe na kwenda kufanya mtihani. Hasa kwa mtu ambaye tayari...
Salam wakuu
Naomba mtaalam anayeweza kunielezea hii inafanyikaje ,nitashukuru. Naihitaji kufanyia Economic analysis kwa uwekezaji katika kampuni flani.
Asanteni.
Heshima kwenu wanajamvi.
Naomba nwenye kujua shule nzuri ya msingi ya kutwa / day kumwanzisha mtoto darasa la kwanza. Shule iwe Dar Es Salaam maeneo ya Mbezi beach au Goba au maeneo ya jirani...
Anasema yeye ni mwalimu wa Darja la tatu A yaani mwalimu wa Msingi ngazi ya cheti. Anataka kwenda kujiendeleza lakini hajui ni course gani za education ngazi ya Diploma ambazo zina soko kwa sasa...
Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Majengo, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi umeridhia kuacha kazi kwa mwalimu wa kiume wa shule hiyo anayedaiwa...
Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili;
1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti?
2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and...
Habarini wadau wote wa elimu.
Nina mdogo wangu kapangiwa hiyo course hapo UDOM
Napenda kujua changamoto za course ndani ya chuo na nje ya chuo, hususani katika soko la ajira kwa sababu course za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.