Pamoja na Sherehe mnazofanya mitaani kumbukeni pesa za Mkopo zinarudishwa kwa Rate ya 15% kwenye Basic Salary let say umeajiriwa unalipwa 2.5M utakatwa jumla ya sh. 0.375 Million so tukumbuke kuwa...
Wakuu nilikuwa naomba kwa wale wanaosoma na waliosoma chuo kati ya hiki cha DIT na NIT... Nilikuwa naomba mnijuze je kwa kozi ya DIPLOMA in MECHANICAL ENGINEERING kwa DIT na NIT kwa miaka hii ni...
Habari wanajamii forums,
Leo wakuu naomba kujulishwa vyuo gani vinavyotoa kozi za wanyamapori (WILDLIFE COURSES) kwa AFRICA. Nilikuwa naomba kufahamu na Courses zinazotolewa. Kuna watu watauliza...
Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule iwe Mathematics, physics, Literature, Geography, Chemistry, Biology, Geometry au History.
Habari wakuu,
Mdogo wenu Yuzo mawe ni mzima kabisa,kwakweli ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi kwa kutufanya mpaka sasa hivi tunapumua,
Sasa ndugu 'zanguni' Wana jf nilikua naomba kujua...
Ni mateso matupu kwa wanafunzi na wazazi mpaka sasa mwanafunzi hajui kama aanze safari kutoka kwao kuja chuoni wakati vyuo vinafunguliwa jtatu 16/11/2020.
Mwanafunzi hawezi kutoka say Sumbawanga...
Habari zenu watu wema wa JF,
Naomba mwenye uelewa na hii bima ya elimu toka NIC Tanzania anipe maelezo au kama kuna mtu yeyote ambae ni mnufaika na hii bima? maana nimepitia kwny tovuti yao...
Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC
Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa...
Watanzania wenzangu sijui tunaelekea wapi!
TULIKUA NA SHULE NZURI SANA TENA NYINGINE ZA VIPAJI MAALUM......
nazikumbuka shule za wasichana za WERUWERU, TABORA, ASHIRA, MACHAME, KILAKALA...
Habari zenu jamani...
Ninaombeni ushauri wenu kuwa kati ya Interior Design na kozi ya Multimedia Technology and Animation ipi ni kozi nzuri kusomea na yenye wigo mpana wa ajira hapa Tanzania...
Habarini Wakuu Wote!
Huu Ni Uzi Nilioanzisha Mwaka Jana Kuwasaidia Wanachuo Watarajiwa Kufahamu Kiundani Kuhusu Udahili Vyuoni,
Nikiri Huu Uzi Uliwasaidia Sana Wahitimu Wa Kidato Cha Sita Ambao Ni...
Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya...
Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.
Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
Chuo Kikuu cha Bukoba
Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki...
Elimu nchini Tanzania hutolewa na sekta zote mbili, yaani, sekta za serikali na binafsi. Muundo wake kiujumla ni kama ifuatavyo:[
👉Miaka 2 au 1 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi...
Habari wanaJF,
Wakuu nilikuwa naomba msaada jinsi ya kupata list ya majina ya waliopata mkopo kwa mwaka 2020/21 maana naangalia kwenye website ya bodi ya mikopo sijayaona au kama kuna yeyote...
Wadau habari zenu, nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu wa mimi kufanikisha hili, tafadhali nisaidieni kujua hatua za mimi kufanikisha hili suala langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.