Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa..
1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi...
Habari wadau na wakereketwa wote wa elimu ya bongo.
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye TCU ishanikatisha ndoto za kuwa daktari si bongo tu dunia nzima MD ina ushindani sana. TCU guide book...
Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada.
UPDATES:
---------------------
Maana yangu ni kwamba kuna...
Wadau habari zenu,
Nahitaji kuhama chuo lakini sijui taratibu za mimi kufanikisha hili suala langu.
Tafadhali nisaidieni kujua taratibu za kufuata hili nifanikishe hili.
Habari za humu wakuu,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?
Je, matokeo ni mabaya sana?
Mwenye anajua au...
Salute Bosses!!!
Habari mkuu , Leo nipo kwenye moody kabisa wa kukuletea uzi ambao hujawahi kufundishwa shule, chuo ama nyumbani!!!
Yaani nataka TUJIFUNZE madini muhimu sana ambayo ni kama...
Ndugu zangu wanaJF, ninaomba mwenye uelewa kuhusiana na hili swala anisaidie nilielewe. Nitajaribu kulielezea mpaka pale uelewa wangu utakapokwamia.
Katika kipindi cha nyuma, ulipaji wa ada...
Hello,
Wakuu hivi kuna member humu alishawai pata hiyo kitu au aulishawai. Hii encounter kitu kama hicho hata kwa mtu wa chuo kimoja? Vp taratibu zake pale TCU?
Wakuu samahan nataka kuuliza kati ya DIT na NIT wapi mnanishauri nikasome diploma ya mechanical engineering?
Nawasilisha na Asanten[emoji120][emoji120]
Ni utaratibu wa vyuo karibu vyote kwa ngazi tofauti kuwa na ratiba ambayo inaonesha mambo muhimu yanayohusiana na chuo husika.
Ujumuisha sheria na kanuni za chuo,ufaulu na madaraja tofauti...
Habari zenu wakuu.
Bila shaka nyote wazima wa afya.
naomba kuuliza hostel zinapatikanaje je za ndani kuna process gan kuzipata na ni bei gan kwa mwaka au kwa semester?, na za nje je? zipo karibu...
Husika na kichwa cha Uzi apo juu.
Kam mfatiliaji wa mambo ya chuo utagundua vyuo vingi vya serikali haswa institute hizi au college gharama za hostel zipo juu sanaa.
Mfano IFM, CBE na TIA...
Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
Hivi kutokana namatatizo ya Internet yaliyo jitokea ' kunauwezekano wa TCU wakatoa tena nafasi ya dhahabu?[emoji56][emoji56]mmh
Mana naona bado kunavijana wengi wanahiitaji hi nafasi, hasa vijijini.
Nilulize swali lolote kuhusu Mtwara college of health and Allied Sciences kinachopatikana Mtwara mjini. Kinachotoa course za Pharmacy, Clinical medicine, Health information and Nursing
Wakuu mim Bado ni mwanafunzi hivyo napenda utunzi wa vitabu viwe vya elimu/Masomo, hadithi , uchambuzi, Siasa na mengine.
Hivyo naomba ushauri na mwongozo kua kipi nifanye kufanikisha hili.
Na...
Wakuu, habari za majukumu.
Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
Je, hii ishawahi kukukuta?.
1-kwa mfano Kuna mtu ulihisi atakua eneo flani na hutaki kukutana nae ikabidi ubadili njia, lakini ulipo pita ndo na yeye kapita hko hivyo ukakutana nae.
2- Ushawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.