Habari za muda huu ndugu zangu eti kuna ujanja wowote wa kujua matokeo ya NACTE kabla ya chuo kuyatoa? Maana kuna mtu ameniambia unaweza kuyaona online kama kuna mtu anajua naomba anielekeze ilo...
Samahani kwa kiswahili kibovu nilikiwa na maanisha college(vyuo vya kati kama sija kosea) ila nimeshidwa ku edit kichwa cha habari ila shida yangu kujua Je unaweza kuhama college huku ukiwa una...
Kipindi cha kuwa mwanafunzi,Ni kipindi muhimu sana unachoweza pitia katika ngazi tofauti za Kitaaluma.
Wakati mwingine kwa mwanafunzi huwa na shauku ya kutaka kuhitimu ili tu ayafikie malengo...
Habari za uzima, Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari na aya ndio matokeo yake ya O-LEVEL (NI BINTI)
O LEVEL
Civics..........B...
Wale watalaam wa mambo haya ambao mnawezakuwa mnajua naomba hata neno la faraja
Mimi nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D...
Naomba kuuliza mtu mwenye cheti Cha kidato Cha nne chenye huu mwonekano..... Geography-C
Kiswahili-C
English-C
Civics-C
Biology-C
History-D
Chemistry-D
Mathematics-F
Physics-F
Anaweza ku...apply...
Ni kifupi cha maneno ya kiingereza "Occupational Safety and Health Authority". OSHA ni taasisi ya serikali iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na wenye Ulemavu) ambayo husimamia...
Habari wana JF!
Mimi ni mwana JF mwenzenu, elimu yangu ni ya kidato cha nne, na course ya Nursing,
pia napenda zaidi kusomea mambo ya ushauri nasaha, ila sielewi hivyo vyuo vipo sehemu gani...
Habari zenu wakuu.
Mdogo wenu nilipata div 2 kwa kombi ya PCB yaani flat D na nikaaply vyuo vitatu :-
SUA, UDSM na Udom lakini nimekosa kote sasa nina wazo pia la kuapply diploma ya pharmacy...
Kutokana na matatizo mbali mbali niliyopitia mwaka wa kwanza chuo semester ya pili yamevuruga akili yangu imekuwa sio ile yenye nguvu kila kitu kwangu naona uvivu tu hadi kushika daftar Nipo mwaka...
wakuu nina kijana wangu anamaliza darasa la 7 mwakani.
nataka akiwa tayari kuenda o level nimpeleke shule ambayo haijali tu masomo ya kawaida bali michezo pia. nataka kutengeneza bonge la...
Habari zenu wakuu,
Nimetumiwa hili tangazo ya kuwa SUA wameshafungua raundi ya pili ya application. Naomba tukumbushane ndugu zetu, tuombe kabla ya tarehe 18/10/2020.
Nawasilisha.
Umepewa Tsh.100 ukanunue kuku, bata,na Njiwa.
Jumla yao wawe 100. Ikiwa kuku mmoja anauza Tsh.1, bata mmoja anauza Tsh.5 na Njiwa mmoja anauza Cent 1.
Je, utanunua kuku, Njiwa na Bata wangapi?
Wakuu hamjambo,
Vijana wetu wa darasa la Saba wako mtaani kwa muda wa miezi mitatu Hadi hapo watakapojiunga na kidato cha kwanza mwezi Januari mwakani.
Kwa umuhimu wa kipindi hiki na ukizingatia...
Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme...
Habarini wadau, najaribu kumsaidia mdogo wangu kufanya online application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine, naomba msaada kwa wadau walioweza kufanya application kwa chuo cha Kilimo cha Sokoine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.