Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za kutwa Wazee wa jukwaa. Ninaomba kwa anaye faham shule nzuri ya kiislam kwa mtoto wa kike. Mwanangu anategemea kuanza darasa la kwanza mwakani panapo majaaliwa. Nimefikiria swala la...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa kutambua umuhimu wa kundi la Vijana, ambalo ni takriban asilimia 60 ya idadi ya Watanzania wote. Serikali na wadau mbalimbali wamekuwa mstari wa mbele kulisaidia kundi hili muhimu. Kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Kama unabisha hili toa hoja tuamini. Mimi ninaamini DIT wanafunzi wa kiume ni wengi kuliko wanafunzi wa kike.
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimehitimu Elimu ya kidato cha Sita kwa ufaulu wa Dvn 1.7 nikapata Chuo cha Dar es salaam kwa Programme ya Archaeology ningependa kusomea programme nyingine kwa ngazi ya Masters Sent using...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Hakuna atakayekuja chumbani au mezani kisha akakulazimisha kuelewa unayojifunza darasani kwa ngazi yeyote uliyopo. Vema ukajitambua aina ya usomaji ulionao ,Kwa maana ni kwa njia ipi unaitumia...
4 Reactions
2 Replies
812 Views
Kuna siku nimekutana na kijana mmoja ambaye amekuwa akifanya vizuri katika tasnia ya habari na utangazaji. So wakati tunazungumza akanieleza miongoni mwa sababu zilizomvutia hata akaamua kuchukua...
1 Reactions
8 Replies
915 Views
Amani ya Mungu iwe nanyi ! Katika Jukwaa hili la elimu yanayo jadiliwa na kufafanuliwa na kuandaliwa makala ni yanayo tokana na Elimu makhsusi au Elimu yeyote tu?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanafunzi unaetaka kujua kuhusu hii kozi au mtu yeyote mwenye interest na kozi ya LMV unaweza Kiniuliza chochote kuhusiana na hiyo kozi.
1 Reactions
22 Replies
21K Views
Habarini ndugu zangu, Kwa majina naitwa Ellyskywilly, nimeandika uzi huu maalum kuelezea 10 biggest Oil and Gas industry contractors. Nitaomba kutumia lugha ya kiingereza kwasababu itakua ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale mliochaguliwa Chuo kikuu cha iringa karibun mim mwenyeji wenu kwa huduma ya vyumba jiran na Chuo mnicheki 0752092377
2 Reactions
0 Replies
801 Views
Niliapply chuo dirisha la pili pale SUA ila mpaka selection zinatoka sijapewa ujumbe wowote zaidi ya ule wa mwanzo kabisa nilipo submit application. Sasa nahisi itakuwa nimekusa nafasi kwa ile...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom. Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tuko kwenye vimbweta vya chuo hapa tunapiga story mbili tatu, mara ubishi ukazuka, na ubishi wenyewe ulikua ni kati ya bcom in accounting ya udsm na BAF ya Mzumbe ipi iko poa sana katika job...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari zenu. Kwa waliopata admission letter, tunaomba watueleze maana wengi wetu account zetu hazioneshi namna ya kupata hiyo joining.hata kwenye hiyo selection status hakuna maelekezo, help desk...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wapendwa mwenye kujua St Francis college of health and allied sciences wasifu wake atusaidie maana leo mwisho. Is it worth studying medicine? Hali ikoje in general with regard to student life...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu hii kozi ya Bachelor of Applied Marketing and Enterpreneurship imekaaje wakuu?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kufungua kwa awamu ya tatu ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2020/2021 utakaokuwa kwa siku tano kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 4...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi kuna uwezekano wa kupata nafasi za masomo A level kwa shule za dar es salaam ambazo zina ada nafuu kwa wanafunzi wa day na kama itakuwepo nahitaj kuzifahamu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndg. zangu! Naomba msaada kwa mtu mwenye mawasiliano ya Watanzania fulani waliosomea China walianzisha magroup ya whatsapp kutoa msaada namna ya kuomba Chinese scholarships kwa mwaka jana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom