Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) Leo imetangaza kufungua kwa dirisha la awamu ya tatu(3rd round selection) la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu Tanzania.
Note: Ni nafasi Nzuri kwa waliokua...
Straight to the topic.
Ninaomba namba za simu za shule husika hapo juu.
Nimejaribu kuangalia kwenye mtandao nikakuta namba mmoja ya land line na mobile numbers but they don't seem to be current...
Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!!
Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue.
karibun
Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!!
Karibuni wadau
Hi kwa wana Jf wote.
Niende moja kwa moja kwenye topic. Je, kama unasoma chuo na unataka kughairisha masomo kwenye chuo husika inawezekana? yani iwe hivi unaweza ukaacha chuo unachosoma nakuenda...
Wakiosubiria kwa hamu selection za NACTE tayari wameshatoa post ila naomba kushauri kitu.
1. Kwa wale waliobahatika kuchaguliwa katika chuo fulani hongereni sana kwa kupata nafasi hiyo nyeti...
Habari ndugu zangu,....mimi ninaomba kwenu mchango wa mawazo kulingana na hali hali halisi ilipo kwa sasa , je nikozi gani ambayo mtu mwenye ufaulu alama D 4, ambazo ni kwa masomo ya Art isipokuwa...
����..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita �Hostel�,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla...
Wakuu nauliza je, kuna kamusi ya swahili to English au English to Swahili inayo tafsiri Sentensi nzima?
Kama kuna anae jua anisaidie ikibidi aweke kiunganishi.
NB: kamusi hiyo iwe kwenye app...
Wakuu Wasalaam
Mimi ni kijana, niliyemaliza kidato cha sita, na nimepata bahati kubwa ya kuchaguliwa miongoni mwa vyuo bora hapa nchini UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, katika kozi ya POLITICAL...
Habari wadau,
Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.
Pia kuna chuo...
Habari yenu waungwana!
Naomba kujua utofauti kati ya hizi certificates,(Technician certificate and basic technician certificate).Ni ipi inaanza kati zote mbili...!
Habarini wakuu...
Naomba msaada... Ratiba Ya vipindi vya jioni kwa masters Udsm ipo vipi (project planning and management) ? Vipindi vinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi, huwa vipo kila siku...
nmepata mshangaoo mkubwa kwa waloapply chuo kikuu mwaka huu wakitokea diploma...weng wametemwa ingalii wana gpa kubwa na nzurii....shida ipo wap kwa wenye mawazoo ya kuwafariji hawa ndugu zangu
Wadau wa elimu,
Naombeni kupewa utaratibu wa kurisiti kwa sasa mtihani wa kidato cha nne.Mimi nilikuwa naujua utaratibu wa zamani ambapo mtu alikuwa akirisiti mitihani idadi anayoitaka ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.