Ninaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne.
Nimepata D - 5 zote za Sanaa...
Wakuu inasemekana ku graduate masters hapo UDSM hasa college ya social science ni vigumu sana.inasemekana pia tatizo ni kwenye research.Inasemekana completion rate ni chini ya 5%.yaani kuna...
HESLB
Certificate of Recognition:
We are honored to receive a certificate of recognition from Higher Education Student Loans Board (HESLB) for the role and consistent improvement in the...
Habari za muda huu wakuu.....
Ipo hivi kuna dogo kamaliza form 4 last year alipata div 4 ya 26....
Sasa kaomba kozi vyuo vya serikali kachaguliwa asomee udaktari wa wanyama....
Bahati mbaya mi...
Samahan ndugu zangu, hivi kama umeapply diploma halafu ukachaguliwa vyuo zaidi ya kimoja unatumiwa code ili uconfirm kimoja au inakuaje?
Na je kama kuna kuconfirm alafu ukashindwa kuna shida?
Dogo amechagulia SUA Bsc.Human Nutrition, ashapewa hadi admission letter, sasa yeye hataki, anataka MD, ameamua kuapply tena vyuo vingine kujaribu kuomba MD, sasa je hii inaweza kusababisha SUA...
Wafanya biashara wengi duniani wao wanaamini kipimo sahihi cha mtu kufanikiwa kibiashara ni MIAKA KUMI hivyo ukikosea kucheza karata yako vizuri leo ukiwa kijana maisha yako yajayo uzeeni utakiwa...
Darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongera kwa watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu.
Wazazi wengi watakuwa busy...
At the end of this message you will have two choices!
What will you do?
...you make the choice.??
Don't look for a punch line, there isn't one.
Read it anyway.
My question is:
Would you have...
Nmetumiwa admission documents laikini admission letter sijatumiwa Niki click sehem ya download admission letter zina open other admission documents na sio admission letter, chuo ni muhas , msaada...
Wakuu habari zasaizi, naomba msaada juu ya faculties tajwa hapo juu.
Zinginezo ni Bachelor of Commerce in Banking and Financial services, Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality...
Habari za muda huu wana JF,
Naomba kujulishwa kuhusu usafiri wa kutoka DAR mpaka Chuo Cha Ualimu Vikindu,nauli ni kiasi gani na magari yanayoelekea wapi natakiwa kupanda?
Pili,kama kuna mtu...
Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.