How I murdered my Student.
I was in class that fateful Friday afternoon teaching my students when she raised her hand to ask a question.
I permitted her and she asked a rather too simple...
Kwa mwenye kufahamu kuhusu nafasi kilichopo chuo kikuu cha Zanzibar au ZU? Kulinganisha na Vyuo vikuu Afrika Mashariki? Kinamilikiwa na nani? Je ndio kilikuwa kinaitwa SUZA? Katika soko la ajira...
Habari wana JF polen na pia hongeren kwa mihangaiko ya dunia,
Wakuu Nina Rafiki yangu Anahitaji msaada wa mawazo yenu
Huyu jamaa amemaliza six mwaka huu
Alivyorudi2 kutoka shule (Baada ya...
Habari,
Hii kozi ya Science and laboratory technology inahusiana na nini zaidi. Nimeifatilia lakini napendelea maoni kutoka kwenu zaidi na kwa kipindi hiki ina unafuu kidogo katika upande wa...
Husika na kichwa hapo juu.
Inawezekana ku unconfirm selection kwa chuo cha UDOM? Maana katika account ya application hawaonyeshi sehemu ya ku edit.
Kuna mdau alitaka aende Mzumbe, huku tayar...
Habari za muda huu vijana,
Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu...
Habari wana JF?Mim ni mwajiriwa kada ya Elimu nilikuwa mechaguliwa bachelor degree in road and railway transport logistics management(NIT), Shida yangu kubwa ni kupata admission letter ya chuo...
Naomba kuuliza mtu Akipata Sup anaweza punguziwa asilimia za mkopo wake?
Pia mtu anapomaliza mwaka mmoja kwenda mwingine anaweza kuongezewa asilimia kama alikua amepewa asilimia kidogo?
Habari wana jamvi. Mtu mwenye shahada ya Elimu (BA.Ed) akitaka kusoma course ya shahada anaweza kusoma course ipi nyingine kwa kutumia vigezo vya shahada ya Elimu. Msaada
Habari za leo wakuu, kuna shida moja katika upatikanaji wa AVN kwa wahitimu katika ngazi ya stashahada, hasa katika baadhi ya kozi zinazotolewa na baadhi ya taasisi za elimu.
Mimi ni mhitimu wa...
WAKUU ;
Nlikua nauliza kam usipochagulia 1st selection ya chuo kikuu unaweza kuchagulia 2nd selection bila kuapply?
Maana m nliapply UDSM nikaambiwa limited space.
Pia UDOM nikaambiwa hvohvo sa...
Habari zenu wajumbe,
Naomba kufahaam kuhusiana na kozi ya mineral proceesing and extractive metulugy katika fursa zake za ajira pamoja na namna gani unaweza kujiajili.
Natanguliza shukrani zangu...
Naona watumishi wameamukuwa kimiya suala madaraja,serikali ilihaidi kulipa mwezi wa 11/2017,mpaka leo hii bila bila,labda kwa baadhi ya mikoa,hakieleweki kinachoendelea,au siasa !!!
Habari za kutwa wana jamvi la elimu.
Husika na mada tajwa apo juu.
Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana...
Wanafunzi wenzangu naomba kufahamishwa je, ni lazima kulipia tena unapoomba udahili second round kwa Chuo kilekile? Mfano mtu aliomba UDSM, akakosa chuo anataka kufanya re- application je palepale...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni form 6 leaver nimesoma PCB na nikafanikiwa kufaulu vizuri. Nipo njia panda kwamba nichague faculty gani kati ya bachelor of pharmacy au doctor of medicine..naombeni...
TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online.
Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.