Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake.
Ila anataka kusoma kozi nyingine ya...
Habri za mdaa huu ndugu zangu kwa yoyote mwenye soft copy ya vitabu ivyo juu naomba msaada tafadhari ninashida navyo sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur...
Wakuu natumaini mko salama mnandelea na majukumu ya hapa na pale kwa lengo la kutafuta mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye maada naomba kupata huu mtiririko wa elimu kwa profesor...
faculty gan ni wide na bora kati ya hizi
Information technology
Information communication technology
Computer science
Computer engineering
Software engineering
Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo.
Bila shaka next...
Habari wana JF,
Naomba msaada kwa yeyote anaye faham namna ya ku reapply katika chuo cha SUA maana nimehangaita toka Asubuhi had muda huu Sijafanikiwa.
Msaada wenu wakuu
Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari hasa hasa anapenda sana MUHAS akilala akiamka ananiuliza mjomba ntapata kweli chuo namuambia...
Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo:
1. Objective
2. Career opportunity ya hii course
3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy
4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
Habari wana JF
Nataka niombe Kozi kwenye second round itakayo anza kesho.
Je kati ya Kozi hizi ipi niweke Kama first priority ili niweze pata chuo awamu hii ya pili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.