Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita Juni/Julai 2020 wamefaulu...
Habari za wakuu,
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kufuta baadhi ya attacments kwenye sehemu ACADEMIC QUALIFICATION kwenye RECRUITMENT PORTAL YA UTUMISHI W UMMA maana kuna attachment nimeziattach...
Habari wakubwa,
Kama niulizavyo hapo naomba kujua mtu yeyote aliyesoma chuo cha COTC Bumbuli Lushoto, Tanga.
Kuna baadhi ya watu wamechaguliwa huko so naomba kwa aliyesoma au anayekifahamu hicho...
Habari wakuu naomba kufahamu vitu vifuatavyo:
1. Objective
2. Career opportunity ya hii course
3. Uhusiano wake na Course ya Pharmacy
4. Kuna Bodi ambayo inasimamia hii kitu
Nina mdogo wangu kamaliza 4 anasoma form 5 mchepuo Wa (EGM) shule moja kanda ya ziwa. Alimaliza Ngarenaro sekondari na alipata division 2 ya pointi 20. Sasa mazingira ya alipo hayaridhishi...
Habari zenu wana JF nina Rafiki yangu amechaguliwa Bsc in Wildlife Conservation pale UDSM na Humani Nutrition pale SUA
ameshindwa ku-confirm anaomba USHAURI aende kozi gani kati ya hizo mbili...
Habari zenu wana JF.
Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada.
Mimi ni...
Wanajamii, hii imekaaje?
Leo nimepigiwa simu na jamaa yangu yupo Chato, amekuta wanafunzi wa shule ya sekondari Mujumuzi (ya binafsi) wameandamana barabarani wakidai baadhi walimu wao kurudishwa...
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo.
Phy-C
Chem-C
Bios-C
Bam-D
Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni...
Wakuu kwa heshima na taadhima HESHIMA yenu,
Mdogo wenu hapa naomba msaada.
Nimemaliza form six mwaka huu kwenye dirisha la udahili awamu ya Kwanza nimekosa vyuo vyote nilivyoomba ambavyo ni;
1...
Kijana wenu nina Diploma ya Water Laboratory and Technology niliyosomea Water Institute. Nataka kuomba chuo sasa hivi Bachelor in Automobile Engineering pale NIT, inawezekana?
HABARI
Kwahapa Dar nichuo gani kipo juu kwakozi ya BUSINESS ADMINISTRATION
Kuna muhitimu anataka kujiunga nakozi ya Business ADMINISTRATION kwangazi ya BACHELOR
Mwenye uelewa mpana kuhusu hii...
Habari wana jamvi nilikuwa naomba kupewa elimu kidogo kipengele cha direct payments to the students chuo cha NIT nimeshindwa kuku kielewa kabisa , lakini kipengele cha tuition fees mekielewa.
-BACHELOR IN HUMAN RESOURCES
-BACHELOR IN PUBLIC ADMINISTRATION
-BACHELOR IN BUSSINESS ADMINISTRATION
-BACHELOR IN LAW ENFORCEMENT
-BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN
-BACHELOR OF BUSINESS...
Wadau, kuna kitu najiuliza kuhusu MPH ya MUHAS. Kwa miaka mitano mfululizo now naona watu wengi sana wanaiappky kulingana na Masters degrees nyingine. Hii imepelekea mimi kujiuliza swali je ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.