Kuna mdogo Wangu wa kike kamaliza form six mwaka huu na kupata division two ya point 10 kwa combination ya PCB.
Kwa Hali iliyopo sasa hivi pamoja na competition kubwa kwa kozi za afya hasa...
Sorry wakubwa wang wa jf nimebahatika kuchaguliwa kozi za science in quantity survey and construction economics pal ardh pia science ya mathematics and statistics pale udom..kozi zote nazipenda...
Wadau nawaomba mnsaidie msaada wa mawazo,
Kwamba niapply kozi gan ambazo zitakuwa hazna ushindan kwa round ya pili?
Mim nimepanga niapply kwenda kusoma shahada ya ualimu kwa masomo ya Physics na...
Tunamwomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Aangalie diploma maalum ya sekondari iliyodahiliwa mwaka 2018 kwa vyuo kama Songea, Tukuyu,kleru,mpwapwa na korogwe.maana wanapata wakati mgumu...
Mpaka leo hii nchi yetu haina sera mahususi inayo elezea matumizi ya lugha ya kufundishia kwa wanafungu katika ngazi mbalimbali za kielimu hapa nchini.
Hii hupelekea watoto wengi sana hasa...
Nakumbuka 2013 nilipomaliza elimu ya sekondari (O'level) Ni baada ya kufukuzwa shule tatu tofauti,Kibasila,Kisarawe lutheran, jitegemee, kishakumalizia shule huko mkuranga shule x.
Sikuwa vibaya...
Poleni na majukumu ya hapa na pale JAMANI mdogo wangu amechaguliwa kozi hyo ya Human Nutrition ila yeye roho haitaki kabisa na kachaguliwa SUA kozi hyo na ni chuo hicho hicho tu hajachaguliwa kozi...
Wakuu naombeni mnijuze kwamba ni lini HESLB watatangaza majina ya waliopata mkopo kwasababu sisi watoto wa wakulima hapo ndipo jicho letu lilipo no mkopo no chuo naombeni mnijuze kwasababu chuo...
Tunakubali dawa ya deni ni kulipa, lakini kuweka misingi na masharti ya kuongeza deni kila mwaka sio haki hata kidogo. Tena kuongeza sheria ambayo hamkukubaliana na mlengwa awali kwa kutunga...
Lex: Lead Annual Essay Competition 2017 for Students in Developing Countries
Announcement
Lex:lead is again happy to announce a scholarship competition for students in developing countries. Up to...
Ndugu zangu mliohitimu kidato cha sita mnategemea kwenda kusoma elimu ya juu, kuweni makini na kile mnachotaka kwenda kusoma,
Maamuzi ya siku moja yanaweza yakagharimu maisha yako yote ya kila...
Habari wanazuoni wa jukwaa la elimu
Najaribu kujiuliza tuu.......
Hivi bado kuna wanafunzi wameomba udahili wa Course za Education tena Arts?????
Na changamoto zote hizi kwenye Tasnia ya Ualimu...
Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini...
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo...
Habari ya asubuhi wadau,
Kwa wale walionufaika na mikopo ya elimu ya juu, kuna wito umetolewa wa wanufaika kujitokeza ili kuanza kulipa mikopo yako. Kuna suala la Value retention fee ya 6% kwa...
Habari waheshimiwa.
Kuna mwalimu anadhamiria kutengeneza simple notes kwenye baadhi ya masomo kama vile Secretarial Course, Nursery Teacher na Hair Dressing. Lengo lake ni kutengeneza Simple and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.