Wakuu nataka kutengeneza circuit inayopokea volt 9v na kutoa volt 900V ya DC
KUNA AMBAYO NIMEPEWA SEMA IMENISHINDA KWA ANAYEWEZA NIMPE DILI
Kuna circuit mbili moja ishakubali bado hiyo ya kutoa...
SERA
Tangu sera mpya ya Elimu ya mwaka 2014 iliyopitishwa na Raisi wa awamu ya nne Dr Jakaya M Kikwete pamoja na waziri wa elimu wa wakati huo Dr Shukuru Kawambwa kumefanyika mabailiko katika...
Habari za Jpili wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa.
Husika na kichwa cha habari hapo juu Mdogo wangu ameniomba ushauri juu ya kozi hapo juu ambayo amechaguliwa chuo cha ATC.
Anataka kujua...
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Habari..!!
Kwa mujibu wa tangazo la HESLB limeonesha kuwa kuanzia leo wametoa fursa kwa waombaji kurekebisha taarifa zao. Binafsi nilitumia partial transcription na sasa ninayo full ila sijapata...
Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi;
Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools).
Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo...
Habarini wanajukwaa la Elimu... kwa heshima na taadhima ninajambo naomba msaada kwenu...
Nilimaliza elimu yangu ya sekondari (O'Level) mwaka 2002 Shule flani ya ufundi hapa nchini tuseme miaka 18...
Baraza la mitihani NECTA ongezeni macho katika usimamizi wa mitihani ya darasa la Saba wilayani TARIME.
Kuna mbinu chafu zimebainika zitatumiwa na baadhi ya wamiliki wa shule za binafsi ili...
Habarini za masiku Wanaelimu, watu wagumu, mareal great thinkerz, jukwaa lisilo na wauza sura, japo wengi tu mafukara
Asalaam Aleykum.
Huu ni Uzi kwaajili ya kupeana dondoo mbalimbali juu ya...
Habari wa Jukwaa,
Naombeni mnijuze sehemu nzuri ninayoweza kusoma kiingereza kwa Tabora mjini (English course).
Asanteni na karibu kwa michango yanu pia ushauri wenu nitapokea
Our #MCM Alumnus goes to the University of Dar es Salaam Vice Chancellor Prof. William-Andey Lazaro Anangisye. As we are celebrating the World Teacher’s day today, Professor Anangisye is an...
Waungwana habari za wakati huu? Poleni kwa kampeni zinazoendelea na hongera kama chama chako kinafanya vizuri!
Ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza pata Joho la kununua angalau moja au mawili...
Kumekuwa na uhaba wa vyuo vinavyotoa kozi za jioni hapa Morogoro mjini ili watu waweze kujiendeleza na elimu kwa muda wa ziada hasa jioni hivyo kupelekea kuwa na uhitaji mkubwa wa watu kupata...
Habari wakuu, ni imani yangu mko salama. Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe, asallam alleikhum!
Nina shahada ya Elimu (B.A.Ed) na nimefanya kazi kwa miaka 6 sasa, ninafikiria kujiendeleza...
Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za...
Nakumbuka mwaka jana tuliitwa kwenye semina Morogoro kujadili mchakato wa kuhamisha vyuo vya Ualimu kusimamiwa na NACTE badala ya NECTA. Dr. Primus Nkwera Katibu Mtendaji wa NACTE alisimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.