Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari za wakati huu, Wakati tukisubiri selection za vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo, Nina ambition ya kusoma kozi mbili. Political science and public administration pamoja na bachelor in laws...
1 Reactions
4 Replies
914 Views
Habari za asubuhi wana jamvi. Wiki kadhaa zilizopita chuo kikuu KCMC walitangaza nafasi za tutorial assistants na assistant lecturers wa kada mbalimbali. Mimi binafsi nilituma maombi ya nafasi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa juu ya hili jambo nipate uhakika sio kubahatisha bahatisha maana nimeambiwa na wengi sana hili jambo. Je, hivi ni kweli kwamba watu wanaosoma Diploma ya...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Swali la shule ya msingi nimeulizwa na binti yangu nikachemka. Naombeni msaada wenu. Swali. The average of three numbers is 48.The average of two of them is 45.Find the third number.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tafuta namba zinazoweza kukaa kwenye izo box [] ili kukupa jibu katika pande zote mbili juu na chini Njooni tupashe damu. Find the value of A, B, C and D?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
A ship sails due west at 20km/h. It passes due south of point A at 10.00 Am. At 10.30 Am, the bearing of A from the ship is N45E. Find the distance of A from the Ship at both stated times...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemaliza O-level 2013 na matokeo yakawa mazuri hadi kupelekea kuchaguliwa PCM Yalikuwa ni Math B+, BIO B, CHEM B, PHY D, HIST B, GEO B, CIV C, ENG C, LIT D, KISW B Ila advance nmetoka na SSE...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada AVN NUMBER ndio number gani phat_07
2 Reactions
8 Replies
3K Views
1 Kwanza kabisa utofauti uliopo kati course ya law enforcement na law yenyewe 2. Napenda kufahamu zaid juu ya judge anasoma coz gan na anakua na elimu gan mpak kuitwa judge 3. Utofauti wa kazi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je, ni kweli kuwa Kama hujasoma form 5 na 6 hupati Kazi serikalini?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni graduate wa nimesoma uhasibu(degree ua kwanza), wakati tunasoma kuna watu walikuja chuoni kutafuta wanaotaka kujifinza accounting packages,ila hawakufanikiwa kuendesha...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba, kama kuna mtu amechaguliwa Mbeya Collage of health and allied sciences kwa diploma courses na akafanikiwa kupata joining instructions au mawasiliano na uongozi wa chuo hicho, anisaidie.
2 Reactions
8 Replies
3K Views
CALL FOR SCHOLARSHIP APPLICATIONS FROM NATIONALS OF EAST AFRICAN COMMUNITY PARTNER STATES TO PURSUE KFW- FUNDED MASTER’S STUDIES (COHORT 2) IN AN EAC PARTNER STATE OTHER THAN THEIR OWN Opening...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2020 mchepuo wa PCB Dv. I-8. Nina ndoto za kuja kuwa Daktari. Katika kozi hizo mbili MD na DDS napata wakati mgumu wa kufanya Decision mimi niko flexible...
1 Reactions
69 Replies
17K Views
Wakuu naombeni msaada wa utofauti wa hizi: BCom in Human Resources Management and Bachelor of Human Resource Management
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemaliza kidato Cha 6 nimepata div. 4 point 18 yaani E, S kwakuwa ndoto zangu zilikuwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu na kurudia mtihani wa kidato Cha 6 sitaki, je nikisoma foundation...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
mwenye taarifa aniambie jaman,maana kuna jamaa hapa kanipa taarifa ila bado sijapata uhakika!! karibuni wadau
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimemaliza diploma, na nimeapply vyuo viwili Mzumbe na MoCU, ila mzumbe wameniletea ujumbe huu hapa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu mwenye notes au handout yoyote ya kufundishia forex pia kama kuna vitabu nahitaji Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
●Kondakta kumsimamisha mwanafunzi kutoka kwenye siti ili aketi mtu mzima ni heshima. ●Je, maskini kusimamishwa aketi tajiri tutaitaje?? ■Ngoja niwape mkasa wa hivi karibuni jinsi maskini anavyo...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom